Chuo Kikuu cha Zürich : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Hiki ni chuo kikuu kikubwa kabisa katika nchi ya uswisi, kipatikanacho katika jiiji la Zurich, kilicho na zaidi ya wanafunzi 26000. Kilianzishwa...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 12:32, 26 Agosti 2016

Hiki ni chuo kikuu kikubwa kabisa katika nchi ya uswisi, kipatikanacho katika jiiji la Zurich, kilicho na zaidi ya wanafunzi 26000. Kilianzishwa mwaka 1883 kutoka kwa vyuo vidogo vilivyokuwapo vya elimu ya dini, sheria , utabibu na kitivo kipya cha falsafa kilichoanzishwa. Kwa sasa chuo hiki kina jumla ya vitivo saba amabvyo ni falsafa, utabibu wa binaadamu, hisabati, sheria, sayansi asilia, elimu ya dini na utabibu wanyama. Chuo kinatoa masomo mengi na kozi nyingi ukilinganisha na taasisi zingine za elimu ya juu nchini Uswisii.