Tetemeko la ardhi la Kagera 2016 : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{Location map | Tanzania|relief=1 | label = | lat = -1.029 | long = 31.568 | mark = Bullseye1.png | marksize = 40 | position = right | width = 250 | float = n...'
 
No edit summary
Mstari 10:
| caption = Mahali pa tetemeko la ardhi la 2016 Kagera, Tanzania }}
 
'''Tetemeko la ardhi kwenye Mkoa wa Kagera''' lilitokea tarehe [[10 Septemba]] mwaka [[2016]] karibu na mji wa [[Bukoba]] nchini [[Tanzania]]. [[Tetemeko la ardhi|SelseleZilizala]] hii ilipimiwa kuwa na nguvu ya 5.9 kwenye [[Tetemeko_la_ardhi#Vipimo|skeli ya MMS]] likatokea takriban kilomita 40 chini ya uso wa ardhi katika mazingira ya kata ya [[Nsunga]] karibu na mpaka kati ya Tanzania na [[Uganda]]<ref>{{cite web|title=M5.9 - 22km NE of Nsunga, Tanzania|url=http://earthquake.usgs.gov/earthquakes/eventpage/us10006nkx#executive|publisher=[[United States Geological Survey]]|accessdate=September 10, 2016|date=September 10, 2016}}</ref>.
 
Mshtuko ulisikika hadi [[Uganda]], [[Burundi]], [[Rwanda]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo|Jamhuri ka Kidemokrasia ya Kongo]] na [[Kenya]].<ref>{{cite web|title=5.7 earthquake hits northwest Tanzania, 11 dead and many injured|url=http://www.africanews.com/2016/09/10/57-earthquake-hits-northwest-tanzania-tremors-hit-parts-of-east-africa/|publisher=[[Africanews]]|accessdate=September 10, 2016|date=September 10, 2016}}</ref><ref>{{cite news|url=http://www.belfasttelegraph.co.uk/news/world-news/tanzania-rocked-by-57-magnitude-earthquake-35038686.html|title=Tanzania rocked by 5.7 magnitude earthquake|newspaper=Belfast Telegraph|date=September 10, 2016|accessdate=September 10, 2016}}</ref>