Content deleted Content added
Mstari 184:
==Lugha na eneo?==
Baba Tabita, salaam. Kwa kupitapita kwenye makala mpya za lugha nimepata swali: katika nchi kubwa kama China hii lugha fulano inajadiliwa wapi? Kwnag ingekuwa msaada kama unaweza kutaja mikoa au maeneo, majimbo ambako lugha fulani inatumiwa. Hii igesaidia pia kama siku moja tunafia kwenye makala kuhusu maeneo mbalimbali. Uwezekano upo, je? '''[[Mtumiaji:Kipala|Kipala]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Kipala|majadiliano]])''' 21:49, 6 Oktoba 2016 (UTC)
:Mzee Kipala, salaam kwako, na asante kwa ujumbe. Kweli, kutaja eneo ambamo lugha fulani huzungumzwa kungefaa sana. Hata hivyo, nimeamua kuendelea na mfumo nilioutunga kwa ajili ya lugha. Nitakapokuwa nimemaliza makala za lugha nitaendelea na makala kuhusu makabila. Katika maoni yangu itafaa zaidi kutaja eneo ambamo watu fulani huishi, na kutaja lugha ambazo hao watu huziongea ndani ya makala ya kabila. Naomba mnivumilie. Ni kazi kubwa sana ambayo nimeshaishughulikia kwa miaka sita na kuendelea. Hatua kwa hatua ... Wasalaam, --'''[[Mtumiaji:Baba Tabita|Baba Tabita]] ([[Majadiliano ya mtumiaji:Baba Tabita#top|majadiliano]])''' 20:44, 7 Oktoba 2016 (UTC)