Pierce Brosnan : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Pierce Brosnan
Mstari 1:
{{Mwigizaji
[[Image:PierceBrosnan(CannesPhotoCall).jpg|thumb|right|160px|Brosna Akiwa katika Tamasha la [[Filamu]] la [[Cannes]].]]
| rangi = Khaki
'''Pierce Brendan Brosnan''' (Amezaliwa Tar. [[16 Mei]], [[1953]], [[Drogheda]], [[Ireland]]) Ni Muigizaji [[filamu]], [[Mtayarishaji]] wa Ki-[[Ireland]]-[[Marekani]] anafahamika zaidi kwa kuigiza kama '[[James Bond]]' katika [[filamu]] nne alizocheza kuanzia mwaka [[1995]] hadi [[2002]], ambazo ni
| jina = Pierce Brosnan
GoldenEye, Tomorrow Never Dies, The World Is Not Enough na Die Another Day.
| picha = PierceBrosnan(CannesPhotoCall).jpg
Tangu atumie jina James bond Brosnan amecheza [[filamu]] zingine tofauti ikiwemo ile ya "Evelyn" na "Seraphim Falls".
| maelezo_ya_picha = Brosna akiwa katika tamasha la filamu la Cannes.
| jina la kuzaliwa = Pierce Brendan Brosnan
| alizaliwa = [[16 Mei]], [[1953]] <br>[[Ireland]]
| kafariki =
| jina lingine = James Bond
| kazi yake = Mwigizaji<br>Mtaarishaji
| miaka ya kazi =
| ndoa = [[Cassandra Harris]]
(1980–1991)
[[Keely Shaye Smith]]
(2001 – mpaka leo
| rafiki =
| watoto =
| wazazi =
| mahusiano =
| tovuti = '''[http://www.piercebrosnan.com/ PierceBrosnan.com]'''
}}
'''Pierce Brendan Brosnan''' (Amezaliwaamezaliwa Tartar. [[16 Mei]], [[1953]], [[Drogheda]], [[Ireland]]) Nini Muigizajimwigizaji [[filamu]], na [[Mtayarishaji|mtaarishaji]] wa Ki-[[Ireland|Kiireland]]-[[Marekani]]. Labda anafahamika zaidi kwa kuigiza kama '[[James Bond]]' katika [[filamu]] nne alizocheza kuanzia mwaka [[1995]] hadi [[2002]], ambazo ni
''GoldenEye'', ''Tomorrow Never Dies'', ''The World Is Not Enough'' na ''Die Another Day''.
Tangu atumie jina James bond Brosnan, pia amecheza [[filamu]] zingine tofauti ikiwemo ile ya "Evelyn" na "Seraphim Falls".
 
Pia Brosnan ana kampuni yake inayojishughulisha na masualamaswala ya utengenezaji wa [[filamu]], moja kati ya [[filamu]] walizotengeneza ni 'Butterfly on a Wheel, Mamma Mia! na The Topkapi Affair, toka mwaka [[1999]] alivyo anza ile filamu ya The Thomas Crown Affair.
 
==Maisha ya Mwanzoawali==
 
 
==Maisha ya Mwanzo==
'''Brosnan''' ni Mtoto wa pekee wa Thomas na May, alizaliwa [[Drogheda]], [[County Louth]], [[Ireland]], Brosnan alipelekwa karibu kidogo na mji wa [[ Navan]], [[County Meath]] ambako huko ndiko alipo kuwa anasoma, alisoma katika shule flani ya kawaida iliyokuwa inaendeshwa na "De La Salle Brothers.
Brosnan na Mama yake walihamia mjini [[ London]], [[Uingereza]] kwa ajili ya kazi baada ya baba yake kuitelekeza familia yake,[[ mwaka]] [[1964]], bond alivyofika umri wa miaka kumi na moja baba yake aliirudia familia yake.
Line 23 ⟶ 41:
Baadae alipata mafunzo ya sanaa kwa muda wa miaka mitatu katika chuo cha "The Drama Centre" cha mjini [[London]] [[Uingereza]].
 
==Maisha Binafsibinafsi==
Brosnan alimuoa muigizaji [[filamu]] wa Ki[[australia]] "[[Cassandra Harris]]" hiyo ilikuwa mwaka [[1980]] na kumlelea watoto wake wawili, ambaye ni Charlotte,(alyezaliwa, [[1971]]) na Christopher (Aliyezaliwa, [[1972]]) kwa bahati mbaya baba yao alikuja kufa hiyo ilikuwa mnamo mwaka [[1986]].
 
Line 33 ⟶ 51:
Tarehe [[23 Septemba]], [[2004]], Brosnan amekuwa raia wa [[marekani]], na kwa sasa anaishi mjini [[Malibu]], [[California]] na ana nyumba mjini [[Hawaii]] na Kaskazini mwa [[Dublin]] nchini [[Uingereza]].
 
==Filamu Alizoigizaalizoigiza==
[[Image:SeraphimFallsPierceBrosnan.jpg|thumb|right|160px|Brosnan Katika Filamu ya Seraphim Falls.]]
* The Long Good Friday (1980)
Line 76 ⟶ 94:
{{commons|Pierce Brosnan}}
 
==Viungo vya Njenje==
* [http://www.piercebrosnan.com Tovuti Rasmi ya Pierce Brosnan's]