Wasaksoni : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
jamii
No edit summary
Mstari 3:
 
Baadhi yao, pamoja na jirani zao [[Waangli]], jumla watu 200,000 hivi, walivamia [[Britania]] katika [[karne ya 5]] na baada ya hapo, wakiweka msingi wa [[Uingereza]] wa leo.
 
Wengine wao walibaki katika Ujerumani ya Kaskazini wakapingana na milki ya Wafaranki na kushindwa na Karolo Mkuu. Katika karne ya 9 BK utemi wa Saksonia ulianza kuwa muhimu katika milki ya Ujerumani hadi mnamo mwaka 919 mtemi Heinrich I alichaguliwa kuwa mfalme wa Ujerumani.
 
Watawala Wasaksoni waliendelea kuongoza milki ya Wajerumani hadi 1024 hata kuchugua cheo cha [[kaisari]] chini ya Otto I. Baadaye mtemi wa Saksonia alishindana na kaisari Frederiki I na utemi wa Saksonia uligawiwa. Cheo cha "Mtemi wa Saksonia" kilibaki na mtawala wa eneo dogo tu na kwa njia ya urithi cheo kilihamia katika kusini-mashariki ya Ujerumani. Tangu siku zile jina la "[[Saksonia]]" linataja maeneo upande wa kusini wa [[Berlin]] ya leo. Maneneo ya Saksonia ya kiasili kwenye kazkazini-magharibi ya Ujerumani leo hii hujulikana kwa jina la "[[Saksonia Chini]]".
 
==Tanbihi==