Kisonono : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 1:
[[File:Neisseria gonorrhoeae micrograph.jpg|thumb|Bakteria ya ''[[Neisseria gonorrhoeae]]'', inayosababisha ugonjwa huu.]]
[[Image:Gonococcal lesion on the skin PHIL 2038 lores.jpg|thumb|Dalili ya ugonjwa katika ngozi.]]
[[File:Gonococcal ophthalmia neonatorum.jpg|thumb|Dalili ya mtoto aliyezaliwa na mama mwenye kisonono.<ref>{{cite web|url=http://www.phac-aspc.gc.ca/publicat/clinic-clinique/pdf/s1c16e.pdf|title=Prophylaxis for Gonococcal and Chlamydial Ophthalmia Neonatorum ''in'' the Canadian Guide to Clinical Preventative Health Care|publisher=Public Health Agency of Canada}}</ref>]]
'''Kisonono''' au '''kisalisali''' ni [[maradhi ya zinaa]] ambayo husababishwa na [[bakteria]] zinazofahamika kisayansi kama ''Neisseria gonorrhoeae''. Bakteria hizo hushambulia utandotelezi unaozunguka [[sehemu za siri]].