Hannover : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1715 (translate me)
No edit summary
Mstari 26:
Mji ulikuwa na viwanda vingi; kati ya makampuni makubwa yako hadi leo [[Volkswagen]] (motokaa), Continental (matairi) na Bahlsen (vyakula).
 
Wakati wa [[vita kuu ya duniapili ya pilidunia]] sehemu kubwa za mji ziliharibiwa na mabomu. Tangu 1946 ilikuwa Hannover mji mkuu na makao ya serikali ya jimbo la Nidersachsen ikaendelea kukua hadi kupita nusu milioni ya wakazi.
 
Mji una vyuo mbalimbali pamoja [[chuo kikuu cha Hannover]]. Ni makao makuu ya kanisa la Kiluteri la Hannover ambalo ni dayosisi yenye wakristo wengi ya kanisa la Luteri duniani.