Ukuta wa China : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Greatwall-SA1.jpg|thumb|right|200px|Ukuta mkubwa wa China]]
[[Picha:Map of the Great Wall of China.jpg|thumb|right|200px|MsatriMstari nyekundu unaonyesha mahali pa ukuta mkubwa wa China.]]
 
'''Ukuta mkubwa wa China''' ni kati ya majengo makubwa kabisa yaliyojengwa duniani. Ni mfululizo wa kuta na ngome unaofuata mpaka kati ya [[China]] na mbuga baridi za [[Asia ya Kaskazini]] na [[Asia ya Kati]]. Ulijengwa kwa shabaha ya kulinda China dhidi ya mashambulio ya nakabila ya wahamiaji wa sehemu hizi. Jumla ya kuta zote ina urefu wa kilomita zaidi ya 21,000. <ref>[http://news.xinhuanet.com/english/china/2012-06/05/c_131632790.htm China's Great Wall is 21,196 km long: survey] (tovuti ya habari ya [[xinhua]] 5 Juni 2012, ikiangaliwa tar. 2 Novemba 2016)</ref><ref>[http://usa.chinadaily.com.cn/epaper/2012-06/13/content_15498514.htm?bsh_bid=100037338 Great Wall much longer than previously believed: survey], tovuti ya gazeti la Chinadaily ya terehe 13 Juni 2012, ikiangaliwa 2 Novemba 2016</ref>
'''Ukuta mkubwa wa [[China]]''' ni kati ya majengo makubwa kabisa yaliyojengwa duniani. Una urefu wa kilomita 6,400 kuanzia [[bahari ya China]] hadi [[jangwa]] la [[Taklamakan]] ukifuata mpaka kati ya China na [[Mongolia]] ya kihistoria.
 
Ujenzi ulianza katika [[karne ya 7 KK]] na kuendelea hadi [[karne ya 16]] BK.<ref>[https://www.britannica.com/topic/Great-Wall-of-China Great Wall of China], Encycloüpedia Britannica online, ikiangaliwa 2.11. 2016</ref>
 
== Historia ya ukuta ==