Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 24:
Waingereza walihitaji jina jipya kwa ajili ya koloni hilo na tangu Januari [[1920]] wakaamua kuliita "Tanganyika Territory" kwa kutumia jina la [[ziwa]] kubwa upande wa mashariki ya eneo. <sup>[[Tanganyika#cite note-1|[1]]]</sup>
</ref>
 
==Jina==
Jina la ziwa limepokelewa na wapelelezi wazungu wa kwanza kutoka kwa wenyeji wa Ujiji. [[Henry Morton Stanley]] aliyetembelea ziwa mnamo mwaka 1876 aliandika ya kwamba watu wa Ujiji hawakuwa na uhakika kuhusu maana ya jina ila tu ilimaanisha ziwa kubwa<ref>Habari yafuatayao kutoka HM Stanley, [https://archive.org/stream/throughdarkconti1878stan2#page/n31/mode/2up Through the Dark Continent Vol 2, p 16] </ref>. Maana waliita maziwa madogo "Kitanga", na waliita pia "ziwa la Usukuma" yaani Viktoria Nyanza kwa jina hili "Tanganika". Wajiji walimwambia Stanley ya kwamba labda neno "nika" ilitoka kwa aina ya samaki waliyoita vile. Baadaye Stanlea alikumbuka neno "nika" katika lugha nyingine za Kiafrika kwa maana ya "tambarare, eneo kubwa bapa" akahisi ya kwamba waliita ziwa kama "tambarare kubwa iliyotandikwa" <ref>Tanganika, 'the great lake spreading out like a plain', or 'plain-like lake'</ref> .
 
Stanley alishika pia majina ya ziwa kwa makabila mengine- watu wa Marungu walisema "Kimana", wale wa Urungu "Iemba" na Wakawendi "Nsaga" kwa maana "ziwa lenye dhoruba". Alichoshika na watu wa Urungu yaani "Iemba" inalingana na taarifa ya Livingstone aliyekuta jina "Liemba" linaloendelea kutumiwa kwa meli ya [[MV Liemba]] kwenye ziwa.
 
==== Jiografia ====
Line 39 ⟶ 44:
 
Miji mikubwa ziwani ni mabandari ya [[Kigoma]] kwa upande wa Tanzania na [[Kalemie]] kwa upande wa Kongo. Kila [[bandari]] ni pamoja na mwanzo wa njia ya reli. Mji mkubwa kabisa ni [[Bujumbura]] mji mkuu wa [[Burundi]].
 
==Marejeo==
 
 
{{mbegu-jio-Afrika}}