Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Marejeo: visiwa
→‎Visiwa: biolojia
Mstari 57:
* Visiwa vya Mutonowe na Kumbula katika sehemu ya Zambia
* Kisiwa cha Lupita katika sehemu ya Tanzania
 
==Biolojia==
Kuna spishi nyingi za samaki aina ya [[cichlidae]] zinazokadiriwa kuwa mnamo 250 na angalau spishi 75 za samaki nyingine. Spishi nyingi wanaishi karibu na mwambao na hadi kina cha mita 180; chini yake kiwango cha oksijeni kinapungua mno. Lakini kiasi kikubwa cha samaki kinapatikana katikati ya ziwa lakini ni spishi chache tu hasa spishi mbili za [[kapenta]] (inayoitwa pia [[dagaa]]) na spishi nne za [[sangala]].
 
Cichlidae karibu spishi zote ni wenyeji wa ziwa yaani wametokea hapa. Pia sangala ni wenyeji wa Tanganyika kwa hiyo hakuna matatizo kama huko Viktoria Nyanza ambako spishi ya sangala iliingizwa miaka 50 iliyopita na kuvuruga ekolojia ya ziwa.
Kutokana na mazingira ya pekee ziwa Tanganyika ni mahali pa kutazama matokeo ya [[mageuko_ya_spishi]].
<ref>[http://www.annualreviews.org/doi/abs/10.1146/annurev.ecolsys.31.1.163 African Cichlid Fishes: Model Systems for Evolutionary Biology], Kornfield, Ivy & Smith, Peter A., ktk Annual Review of Ecology and Systematics, Vol. 31: 163-196, Nov. 2000</ref>
 
Cichlidae za ziwa Tanganyika wanapendwa kama [[samaki wa mapambo]] wakinunuliwa na kufugwa na wenye [[tangisamaki]] kote duniani.
 
Ziwani kuna pia spishi nyingi za pekee za [[konokono]] na [[kaa]] pamoja na [[crustacea]] nyingine.
 
==Marejeo==