Tanganyika (ziwa) : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Usafiri: +chanzo
Mstari 72:
 
==Biolojia==
[[Picha:Cichlidae_-_Cyphotilapia_frontosa.JPG|thumb|Cyphotilapia frontosa, spishi ya Cychlidae katika Ziwa Tanganyika]]
Kuna [[spishi]] nyingi za samaki aina ya [[cichlidae]] zinazokadiriwa kuwa 250 na angalau spishi 75 za samaki wengine. Spishi nyingi wanaishi karibu na [[mwambao]] na hadi kina cha mita 180; chini yake kiwango cha oksijeni kinapungua mno. Lakini kiasi kikubwa cha samaki kinapatikana katikati ya ziwa, ila ni spishi chache tu, hasa spishi mbili za [[kapenta]] (inayoitwa pia [[dagaa]]) na spishi [[nne]] za [[sangala]].