Shahada ya Awali : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Digrii ya bachelor''' ni stashahada inayotolewa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kuteg...'
(Hakuna tofauti)

Pitio la 21:55, 17 Novemba 2016

Digrii ya bachelor ni stashahada inayotolewa kwa mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefaulu masomo ya fani fulani katika muda wa miaka mitatu au minne, kutegemeana na nchi na mfumo wa chuo.

Neno "bachelor" kwa lugha ya Kiingereza kimsingi limantaja mtu mwenye umri wa kutosha asiyeoa bado.

Katika nchi zinazofuata mfumo wa Uingereza ni miaka mitatu, kwenye mfumo wa Marekani ni muda wa miaka minne kutokana na tofauti katika kiwango cha elimu ya sekondari.

Nchi nyingine hazijui digrii hiyo kwa sababu kwao masomo ya chuo kikuu hupangwa kwa muda wa miaka mitano hadi sita tangu mwanzo.

Vyeo vinavyofuata ni digrii ya master na digrii ya dokta.