Nelson Mandela : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 25:
 
===Elimu===
Mwaka [[1925]] babake alimtuma kusoma shule ndogo ya Kimethodisti alipofanyikiwa vema. Baada ya [[kifo]] cha baba aliishi kwa chifu wa Watembo na hapo kwene [[umri]] wa miaka 16 alishiriki katika [[sherehe]] ya [[jando]] alipotahiriwa na kupokea jina ''Dalibunga''.{{sfnm|1a1=Benson|1y=1986|1p=17|2a1=Mandela|2y=1994|2pp=36–42|3a1=Lodge|3y=2006|3p=8|4a1=Smith|4y=2010|4pp=29–31|5a1=Meredith|5y=2010|5pp=9–11|6a1=Sampson|6y=2011|6p=14}}
 
Baadaye aliendelea kusoma kwenye [[shule ya sekondari]] ya „Clarkebury Boarding Institute“ huko [[Engcobo]] iliyokuwa shule ya mabweni[[bweni]] kubwa kwa ajili ya [[vijana]] kutoka Wathembo.{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=45–47|2a1=Smith|2y=2010|2pp=27, 31|3a1=Meredith|3y=2010|3pp=12–13|4a1=Sampson|4y=2011|4p=15}}
 
[[File:Young Mandela.jpg|thumb|right|upright|Photograph of Mandela, taken in Umtata in 1937]]
 
Hapa alianza mazoezi ya [[michezo]] na kupenda [[kazi]] ya [[bustani]] aliyoendelea kwa [[maisha]] yote. {{sfnm|Mandela|1994|pp=48–50}} Baada ya miaka miwili alipokea [[cheti]] ndogokidogo yacha elimu ya sekondari.{{sfnm|Sampson|2011|p=17}}
 
Mwaka [[1937]] kwenye umri wa miaka 19 aliendelea kwenye [[chuo]] cha Wamethodisti huko [[Fort Beaufort{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=52|2a1=Smith|2y=2010|2pp=31–32|3a1=Meredith|3y=2010|3p=14|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=17–18}}. Hapo alikuwa mara ya kwanza [[rafiki]] na kijana nje ya kabila lake aliyekuwa [[Wasotho|Msotho]] akaathiriwa na mwalimu mpendwa Mxhosa aliyevunja [[mwiko]] kwa kumwoa mke kutoka kwa Wasotho {{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=53–54|2a1=Smith|2y=2010|2p=32|3a1=Meredith|3y=2010|3pp=14–15|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=18–21}} Mandela alitumia muda mwingi huko Healdtown kwa kufuata michezo ya kukimbia na [[bondia]].{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=56|2a1=Smith|2y=2010|2p=32|3a1=Meredith|3y=2010|3p=15}}
 
Tangu [[1939]] alianza masomo kwa [[digrii ya bachelor]] kwenye [[Chuo Kikuu cha Fort Hare]], chuo kwa ajili ya wanafunzi [[Waafrika]] katika jimbo la [[Rasi Mashariki]]. Masomo yake yalikuwa Kiingereza, [[anthropolojia]], siasa na [[sheria]]. Wakati ule alitaka kuendelea kuwa ,fasirimfasiri au [[afisa]] katika Idara ya Shughuli za Wazalendo (kitengo cha serikali ya Kizungu kwa maeneo ya Waafrika katika Afrika Kusini).
{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=62–65|2a1=Lodge|2y=2006|2p=9|3a1=Smith|3y=2010|3pp=33–34|4a1=Meredith|4y=2010|4pp=15–18|5a1=Sampson|5y=2011|5pp=21, 25}} Katika benibweni lake alikuwa rafiki wa [[Kaiser Matanzima]] na [[Oliver Tambo]] alyieendeleaaliyeendelea kuwa rafiki yake kwa miaka mingi ijayo.{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=62–63|2a1=Smith|2y=2010|2pp=33–34|3a1=Meredith|3y=2010|3pp=17–19|4a1=Sampson|4y=2011|4pp=24–25}}
Pamoja na kupenda michezo Mandela alijifunza [[dansi]] ya Kizungu {{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1pp=67–69|2a1=Smith|2y=2010|2p=34|3a1=Meredith|3y=2010|3p=18|4a1=Sampson|4y=2011|4p=25}}, alishiriki tamthiliya kuhusu about [[Abraham Lincoln]],{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=68|2a1=Lodge|2y=2006|2p=10|3a1=Smith|3y=2010|3p=35|4a1=Meredith|4y=2010|4p=18|5a1=Sampson|5y=2011|5p=25}} akatoa darasa la [[Biblia]] katika kanisa.{{sfnm|1a1=Mandela|1y=1994|1p=68|2a1=Lodge|2y=2006|2p=10|3a1=Meredith|3y=2010|3p=18|4a1=Forster|4y=2014|4p=93}}