Mfumo wa kingamaradhi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Image:Neutrophil with anthrax copy.jpg|thumb|right|250px|[[Picha]] iliyopigwa kwa [[hadubini]] ikionyesha [[neutrofili]] ([[manjano|njano]]) ikimeza bakteria ya [[Anthrax]] ([[nyekundu]]).]]
[[File:Ilya Mechnikov nobel.jpg|thumb|right|230px|[[Ilya Mechnikov]], mmojawapo kati ya waanzilishi wa [[imunolojia]].]]
'''Mfumo wa kingamaradhi''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''immune system'') ni seti ya [[tishu]] za [[mwili]] zinazofanya [[kazi]] pamoja ili kukwepa [[ugonjwa]].
 
Mfumo huo unasaidia [[kiumbehai]] kutambua na kuzuia [[hatari]] kutoka nje kwa [[afya]] yake, kama vile [[virusi]], [[bakteria]] na [[kidusia|vidusia]] mbalimbali.<ref name=Janeway>Janeway C.A ''et al'' 2001. Basic concepts in immunology, Chapter 1 in ''Immunobiology'', 5th ed, New York: Garland Science. ISBN 978-0-8153-4101-7</ref>
Mstari 7:
Kumbe pengine mfumo wenyewe umeathiriwa na kwa sababu hiyo unashindwa kufanya kazi.<ref>[http://jem.rupress.org/content/193/6/F23.full "Inflammatory cells and cancer"], Lisa M. Coussens and Zena Werb 2001. ''Journal of Experimental Medicine'', '''193''' F23-26.</ref><ref>[http://www.ncbi.nlm.nih.gov/pmc/articles/PMC2364095 "Chronic immune activation and inflammation as the cause of malignancy"] K.J. O'Byrne and A.G. Dalgleish 2010. ''British Journal of Cancer''. '''85''', 473-483.</ref> Mfano mmojawapo wa ukosefu huo ni [[UKIMWI]] unaosababishwa na [[Virusi vya ukimwi|VVU]].
 
Mfumo huo ni wa zamani sana, kiasi kwamba uliweza kuwepo katika [[eukaryota]] wa [[seli]] moja tu, kabla ya [[wanyama]] na [[mimea]] kutofautiana.<ref name=Janeway2>Janeway C.A ''et al'' 2001. Evolution of the immun system: past, present and future. 'Afterword' in ''Immunobiology'', 5th ed, New York: Garland Science. ISBN 978-0-8153-4101-7</ref><ref name=Janeway2/>
[[Fani]] muhimu ya [[sayansi]] inayochunguza mfumo huo inaitwa [[imunolojia]].
 
[[Fani]] muhimu ya [[sayansi]] inayochunguza mfumo huo inaitwa [[imunolojia]].
Mfumo huo ni wa zamani sana, kiasi kwamba uliweza kuwepo katika [[eukaryota]] wa seli moja tu, kabla ya [[wanyama]] na [[mimea]] kutofautiana.<ref name=Janeway2>Janeway C.A ''et al'' 2001. Evolution of the immun system: past, present and future. 'Afterword' in ''Immunobiology'', 5th ed, New York: Garland Science. ISBN 978-0-8153-4101-7</ref><ref name=Janeway2/>
 
==Tanbihi==
Mstari 18:
[[Category:Mwili]]
[[Jamii:Biolojia]]
[[Jamii:Afya]]