Mmea : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q756 (translate me)
No edit summary
Mstari 2:
'''Mimea''' ni moja ya kundi la [[viumbe hai]] duniani ikijumuisha [[miti]], [[maua]], [[mitishamba]],n.k. Kuna zaidi ya aina 300,000 ya mimea.
 
Sayansi inayochunguza mimea huitwa [[botania]] ni kitengo cha [[biolojia]]. Kwenye [[uainishaji wa kisayansi]] Mimea hujumlishwa katika himaya ya planta kwenye milki ya [[Eukaryota]] (viumbehai vyenye [[kiini cha seli]] na [[utando wa seli]].).
 
Kwa jumla mimea huwa na uwezo wa [[usanisinuru]] yaani hujilisha kwa msaada wa nuru.