Kiini cha seli : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Blausen 0212 CellNucleus.png|thumb|Kiini cha seli <br/><small>nuclearMaelezo ya majina ya Kiingereza tazama chini katika matini</small>]]
[[Picha:HeLa cells stained with Hoechst 33258.jpg|thumb|Seli zilizotiwa rangi ya kuonyesha DNA ndani ya viini; seli upande wa kushoto inaandaa kujigawa na hapa DNA ndani yake imeshajikaza, tayari kwa ugawaji]]
'''Kiini cha seli''' (ing. ''cell nucleus'') ni sehemu ndogo ndani ya [[seli]] ya kiumbehai ya aina ya [[eukaryota]] inayobeba habari za [[jenetiki]] yaani urithi wa tabia za [[kiumbehai]]. Ndani ya kiini kuna nyuzi za [[kromosomu]] zenye [[DNA]]. Hizi zinapatikana kama mkusanyiko wa nyuzi (''nucleolus'' ~ ka-kiini) ndani ya kiini.