Tofauti kati ya marekesbisho "Kichapuzi chembe"

63 bytes added ,  miaka 4 iliyopita
no edit summary
 
{{fupi}}
 
[[File:CERN_Aerial_View.jpg|right|thumb|Eneo la CERN kutoka hewani]]
'''Kichapuzi chembe''' au kikamilifu zaidi '''Kichapuzi cha chembe cha nyuklia''' (ing.kwa [[Kiingereza]] ''particle accelerator'') ni kifaa cha kuongezea mwendo wa [[chembe za nyuklia]], yaani chembe ndogo sana, kama [[atomu]] au sehemu za atomu.
 
Mfano maarufu ni Kichapuzi chembe kiitwacho [[CERN]] kilichojengwa karibu na [[mji]] wa [[Geneva]], mpakani kwa [[Uswisi]] na [[Ufaransa]].
 
Kichapuzi chembe kinaharakisha mwendo wa chembe hadi kufikia kasi ya juu hatana kukaribia [[kasi ya nuru]]. Kichapuzi kinatekeleza [[kazi]] hii kwa kutumia [[uga sumakuumeme]] zinazosukuma chembe kama [[elektroni]], [[protoni]] au [[viini vya atomi]]. Matumizi ya vichapuzi chembe ni hasa [[utafiti]] wa [[fizikia]] ya chembe. Lakini [[mashine]] hizi zinatumiwa pia kwa [[tiba]] ya [[kansa]] kwa kulenga [[nyutroni]] kwa [[seli]] husika<ref>U. Amaldi and G. Kraft, "Radiotherapy with beams of carbon ions" in Rep. Progr. Physics 68 (2005) [pp.?] 1861, 1861–1882.</ref>.<ref>[https://books.google.de/books?id=TcJOCgAAQBAJ&pg=PA24&dq=U.+Amaldi+and+G.+Kraft,+%22Radiotherapy+with+beams+of+carbon+ions%22&hl=en&sa=X&redir_esc=y#v=onepage&q=U.%20Amaldi%20and%20G.%20Kraft%2C%20%22Radiotherapy%20with%20beams%20of%20carbon%20ions%22&f=false Marcos d’Ávila Nunes, Protontherapy Versus Carbon Ion Therapy: Advantages, Disadvantages and Similarities], Springer 2015 , uk 21ff; iliangaliwa kupitia google books tar. 9-12-2016</ref>
 
Vichapuzi vyembechembe vinakuwa kubwa zaidi kadri yakadiri chembe zinazochunguliwa nizilivyo ndogo zaidi. Mashine kubwa sana kama vile CERN huko Geneva zinatumiwa kwa kutafuta chembe ambazo ni ndogo kuliko atomi. Mashine ndogo hutumiwa kwa utafiti kwa kiini cha atomi au kwa tiba.
==Tanbihi==
 
{{marejeo}}
 
{{mbegu-fizikia}}
[[Jamii:Fizikia]]
[[Jamii:Teknolojia]]
[[Jamii:Tiba]]