Tofauti kati ya marekesbisho "Elimu"

566 bytes added ,  miaka 3 iliyopita
 
== Maendeleo ya elimu ==
[[Picha:Education index UN HDR 2007 2008.PNG|thumb|300px|left|Ramani ya dunia ikionyesha Viwango vya Elimu (kulingana na Ripoti ya Maendeleo ya Binadamu 2007/2008)]]
{| width=100%
|-
| valign=top |
{{legend|#006000|0.950 kwenda juu}}
{{legend|#00a000|0.900–0.949}}
{{legend|#00d000|0.850–0.899}}
{{legend|#00ff00|0.800–0.849}}
{{legend|#e0ff00|0.750–0.799}}
| valign=top |
{{legend|#ffff00|0.700–0.749}}
{{legend|#ffdf00|0.650–0.699}}
{{legend|#ffc160|0.600–0.649}}
{{legend|#ffa552|0.550–0.599}}
{{legend|#ff8000|0.500–0.549}}
| valign=top |
{{legend|#ff0000|0.450–0.499}}
{{legend|#a00000|0.400–0.449}}
{{legend|#800000|0.350–0.399}}
{{legend|#400000|chini ya 0.350}}
{{legend|#c0c0c0|hakuna takwimu}}
|}
]]
Katika [[nchi zinazoendelea]] idadi na uzito wa shida zilizoko kwa kawaida ni kubwa. Watu wa vijijini wakati mwingine huwa hawana habari kuhusu umuhimu wa elimu. Hata hivyo, nchi nyingine zina [[wizara ya elimu]] na katika masomo mengi, kama vile kujifunza lugha za kigeni, kiwango cha elimu kimo juu kuliko katika nchi zilizoendelea. Kwa mfano, katika nchi zinazoendelea ni kawaida kupata wanafunzi wakizungumza lugha nyingi za kigeni kwa usanifu mkubwa, ilhali jambo hili ni nadra katika [[nchi zilizoendelea]] ambapo idadi kubwa ya watu huzungumza lugha moja.