Serikali ya Víchy : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q69808 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Serikali ya Víchy''' ilitawala [[Ufaransa]] chini ya amri ya [[Ujerumani]] wakati wa [[Vita Kuu ya Pili ya Dunia]]. Iliongozwa na Jemadari [[Philippe Pétain]] na makao makuu yalikuwepo mjini [[Vichy]] katika kusini ya Ufaransa.
 
Petain alikubali kuunda serikali hii baada ya Ufaransa ilishindwa na Ujerumani mwaka 1940. Kati ya Julai 1940 hadi Novemba 1942 serikali ya Vichy ilikuwa na mamlaka juu ya kusini ya Ufaransa ambako wanajeshi wa Ujerumani hawakuingia kufuatana na mapatano ya kusimamisha vita. Kaskazini ya Ufaransa ilikuwa chini ya amri ya kijeshi ya Kijerumani lakini hata hapa serikali ya Vichy ilikuwa na mamlaka ya kusimamia uatawala wa miji na polisi ya Kifaransa.