Tofauti kati ya marekesbisho "Nchi za Maziwa Makuu"

178 bytes added ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(nyongeza)
[[Picha:GreatLakesAfrica.jpg|thumb|279px|right|Maziwa Makuu kutoka anga.]]
 
'''Nchi za Maziwa Makuu''' ni nchi zinazopakana na [[Ziwa|maziwa]] makubwa ya [[Afrika ya Mashariki]] ambazo ni [[Tanzania]], [[Rwanda]], [[Burundi]], [[Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]], [[Kenya]], na [[Uganda]].
 
Kati ya maziwa makubwa yaliyoko katika eneo hili ni
*[[Ziwa Tanganyika]]
*[[Ziwa Nyanza]] (Viktoria)
*[[Ziwa AlbertTanganyika]]
*[[Ziwa Nyasa]] (ziwa Malawi)
*[[Ziwa Albert (Afrika)|Ziwa Albert]]
*[[Ziwa Edward]]
*[[Ziwa Kivu]]
*[[Ziwa Nyasa]] (ziwa Malawi)
 
Eneo hili ni muhimu kimataifa kutokana na [[bioanwai]] kubwa : [[asilimia]] 10 ya [[spishi]] za [[samaki]] zotewote [[duniani]] zinapatikana katika maziwa yake. Maziwa ya Viktoria, Tanganyika na Nyasa hushika robo moja ya [[maji matamu]] (yasiyo [[maji ya chumvi]]) yaliyopo duniani.
 
Maziwa ya Viktoria, Tanganyika na Nyasa hushika [[robo]] moja ya [[maji matamu]] (yasiyo [[maji ya chumvi]]) yaliyopo duniani.
 
{{mbegu-jio-Afrika}}
 
[[Jamii:Afrika]]
[[Jamii:Tanzania]]
[[Jamii:Rwanda]]
[[Jamii:Burundi]]
[[Jamii:Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo]]
[[Jamii:Kenya]]
[[Jamii:Uganda]]