Mishipa ya damu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika 'Picha:Kapilari.jpg|thumb|300px|Kapilari kati ya ateri na vena ni mahali ambako oksijeni inatoka katika damu kwende seli na gesi a mata chafu nyingine inapokel...'
 
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Kapilari.jpg|thumb|300px|Kapilari kati ya ateri na vena ni mahali ambako oksijeni inatoka katika damu kwendekwenda seli na gesi aau mata chafu nyingine inapokelewa kwa safari kwenda ogani za kusafishia.]]
'''Mishipa ya damu''' ([[ing.]] ''blood vessels'') ni mabomba ndani ya mwili ambamo [[damu]] inasafirishwa pande zote za mwili. Pamoja na [[moyo]] inaunda [[mfumo wa mzunguko wa damu]] mwilini.