Pate : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
 
No edit summary
Mstari 1:
'''Pate''' ni kisiwa kikubwa cha funguvisiwa vyaya [[Lamu]] mbele ya pwani la [[Kenya]] katika [[Bahari Hindi]]. Pate ni kisiwa ambacho ni karibu na [[Somalia]].
 
Pate ilikuwa kati ya mahali pa kwanza pa kutembelewa na wafanyabiashara [[Waarabu]], labda kuanzia karne ya 7 [[BK]]. Inawezekana ilikuwa tayari kati ya mahali palipotajwa katika taarifa za kale kuhusu [[Azania]] kama vile [[Periplus ya Bahari ya Eritrea]].