Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 1:
'''Lugha''' (kutoka [[Kiarabu]]: لغة) ni [[utaratibu]] wa kuwasiliana kati ya [[binadamu]] au pengine hata kati ya [[Viumbehai|viumbe]] wenye [[akili]].
 
Mwaka wa [[2008]] ulikuwa [[Mwaka wa Lugha wa Kimataifa]].
 
Somo la lugha linaitwa [[maarifa ya lugha]] au [[isimu]].
Mwaka wa [[2008]] ulikuwa [[Mwaka wa Lugha wa Kimataifa]].
 
== Maana ya neno "lugha" ==
Lugha ni mfumo wa [[sauti]] za [[nasibu]] zilizokua katika mpango maalum na zilizokubaliwa na [[jamii]] ya watu fulani ili zitumike katika [[mawasiliano]].
Mstari 12:
== Tabia za lugha ==
* Lugha huzaliwa
* Lugha hukua = (kuongezeka kwa maneno, kuongezeka kwa idadi ya wazungumzaji, kuwa na mawanda mapana, kusanifiwa)
* Lugha hufundishika
* Lugha huathiriana
Mstari 52:
=== Lugha ya maandishi ===
Hii ni lugha ambayo huwasilishwa kwa njia ya maandishi. Hii ni kiwakilishi cha lugha ya mazungumzo katika mfumo wa maandishi. Lugha ya maandishi ni changa kwani imeanza [[milenia]] za hivi karibuni baada ya kuvumbuliwa kwa maandishi.
 
;Stadi za lugha ya maandishi ni kuandika na kusoma.:
;Mandishi ya lugha tafauti, iana ya fungo ya "Scripture".
[https://en.wikipedia.org/wiki/Writing_system#/media/File:Writing_directions_of_the_world.svg]
 
{| class="wikitable sortable"
Line 62 ⟶ 61:
| 1 || Kuandika/Maandishi || Kusoma
|-
| 2 || MaandishiMwandishi || HubiriMsomaji
|-
| 3 || Mwandishi || Msomaji
 
|}
Line 93 ⟶ 90:
==Viungo vya nje==
{{Commons|Language}}
*[https://en.wikipedia.org/wiki/Writing_system#/media/File:Writing_directions_of_the_world.svg]
 
[[Jamii:Lugha| ]]