Kaizari Karoli V : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''Karoli V''' (pia: '''Carlos I wa Hispania'''<ref>Karoli, Carlos, Karl, Charles, Carlo, ni maumbo tofauti ya [[jina]] lilelile la asili ya [[Kigermanik]] katika [[lugha]] mbalimbali za [[Ulaya]]</ref>; [[24 Februari]] [[1500]] &ndash; [[21 Septemba]] [[1558]]) alikuwa [[Kaizari]] wa [[Dola Takatifu la Kiroma]]<ref>Dola Takatifu la Kiroma ilikuwalilikuwa jina la milki iliyounganisha [[Ujerumani]], [[Uholanzi]], [[Ubelgiji]] pamoja na maeneo katikakadhaa ya [[Italia]], [[Ufaransa]] na [[Ucheki]] wa leo katika [[enzi ya kati]] hadi [[1806]].</ref> kuanzia [[1519]] hadi kujiuzulu mwezi wa Septemba [[1556]].
 
Alimfuata [[babu]] yake, [[Kaizari Maximilian I|Maximilian I]], na kufuatiwa na mdogo wake [[Kaizari Ferdinand I|Ferdinand I]].
 
Kwa jina la Carlos I alikuwa [[mfalme]] wa kwanza wa [[Hispania]] tangu mwaka 1516. Kwa kuwa nchi hiyo ilikuwa na [[Koloni|makoloni]] mengi hasa [[Bara|barani]] [[Amerika]], aliweza kusema, "Katika ufalme wangu [[jua]] halitui kamwe".
 
 
==Marejeo==