Gobori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Legobot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 13 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q1461850 (translate me)
+picha
Mstari 1:
[[picha:gobori.jpg|thumb|300px|Muundo wa kimsingi wa gobori: 1: risasi 2: baruti 3: shimo la kupashia moto ]]
[[Picha:Vlgevlpi.JPG|300px|thumb|Gobori kubwa na bastola ya gobiri]]
 
'''Gobori''' ni [[silaha ya moto]] asilia. Ni aina ya [[bunduki]] ya kimsingi ambako [[risasi]] pamoja na [[baruti]] zinaingizwa pamoja kwenye mdomo wa [[kasiba]] ya [[silaha]] na risasi inafyatuliwa kwa kupasha moto kwenye shimo upande wa nyuma ya kasiba. Moto inawasha baruti na kusababisha mlipuko unaorusha risasi nje ya mdomo wa kasiba. Bunduki za kisasa hutumia [[ramia]] zinazopelekwa katika kasiba kutoka kando au nyuma.