Mende : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Sahihisho
Sahihisho
Mstari 19:
* [[Corydioidea]]
}}
'''Mende''' au '''kombamwiko''' ni [[wadudu]] wadogo hadi wakubwa kiasi wa [[oda]] ya [[Blattodea]] (blatta = mende, eidos = umbo). Tangu mwanzo wa karne hii wataalamu wengi wamesadiki kwamba [[mchwa]] ni aina za mende wa [[mdudu wa kijamii|kijamii]]<ref>Inward, D., Beccaloni, G. & Eggleton, P. 2007. Death of an order: a comprehensive molecular phylogenetic study confirms that termites are eusocial cockroaches. Biology Letters, 3(3): 331-335 [Published online 5 April 2007. doi: 10.1098/rsbl.2007.0102]</ref><ref>{{cite news | title = Termites are 'social cockroaches' | publisher = BBC News | date = 13 April 2007 | url = http://news.bbc.co.uk/1/hi/sci/tech/6553219.stm | accessdate = }}</ref>. Kwa hivyo oda yao, [[Isoptera]], huwekwa ndani ya Blattodea kama [[oda ya chini]] mara nyingi. Kuna maainisho mengine pia<ref>http://bugguide.net/node/view/601959/tree</ref>. Kundi la mchwa linajadiliwa katika ukurasa wake.
 
Kuna zaidi ya [[spishi]] 4,000 za mende, kati yao 30 hupatikana kwenye makazi ya watu, huku nne kati yao zinafahamika kama wadudu wasumbufu.