Hema : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 1:
[[Picha:Lowlands tents.jpg|250px|thumb|Mji wa hema za wapenzi wa [[muziki]] waliokuja kwa [[tamasha]] za [[bendi]]]]
[[Picha:Hema sahili.jpg|250px|thumb|Muundo wa hema sahili]]
'''Hema''' ni kibanda chepesi kinachofanywa na [[kiunzi]] cha ndani na ganda la nje la [[kitambaa]], [[plastiki]] au [[ngozi]]. Kazi yake ni
Katika [[jamii]] zinazofuata [[maisha]] ya
Hema ndogo zinatumiwa kama kinga ya muda kwa burudani kama camping au matembezi marefu. Hema kubwa zaidi hutumiwa na jeshi kwa kambi za muda, pia wakati wa maafa kama watu hawana nyumba tena kwa mfano baada ya tetemeko la ardhi au mafuriko. Hema kubwa sana zatumiwa kwa mikutano mahali pasipo na ukumbi wa kutosha.▼
▲Katika jamii zinazofuata maisha ya uhamiaji hema ni kawaida badala ya nyumba imara, kwa mfano wafugaji wanaohamahama pamoja na kondoo au ngamia zao.
▲
==Picha za hema==
<gallery class="center" widths="195px" style="text-align:center">
File:Tent city in Port-au-Prince 2010-01-21.jpg|
File:Bedouin Tent, Syrian Desert (5079932783).jpg|Hema la wafugaji [[Waarabu]] huko [[Syria]]
File:Zirkus Barum 01 KMJ.jpg|Hema kubwa
file:Battlefield of Gettysburgh (sic) - U.S. General Hospital. (3110843376).jpg|
</gallery>
[[jamii:Makazi]]
|