Tofauti kati ya marekesbisho "Ingeborg Schwenzer"

669 bytes removed ,  miaka 5 iliyopita
no edit summary
(+viungo)
No edit summary
Kuanzia mwaka 1978 hadi 1980, Schwenzer alifanya mafunzo ya sheria kwa vitendo katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br. na kufaulu mtihani wa Zweite juristische Staatsprüfung (Second State Exam in Law) ambapo alishika nafasi ya kwanza kati ya watahiniwa 334.
 
Kati ya mwaka 1980 na mwaka 1987, Schwenzer alikuwa msaidizi profesa na mhadhiri wa sheria za biashara katika Verwaltungs- und Wirtschaftsakademie (Academy of Administration and Commerce) katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br.
 
Mwaka 1986, Schwenzer aliteuliwa kuwa mhadhiri kwenye Chuo Kikuu cha Philipps-Universität Marburg.
Mwaka 1987, andiko la Schwenzer lenye kichwa ''Vom Status zur Realbeziehung – Familienrecht im Wandel'' (From status to actual relation – family law in the flux) lilikubaliwa na Chuo Kikuu cha Freiburg na kutunukiwa ''venia legend'' kwenye sheria za masuala binafsi, sheria za biashara, sheria za kimataifa na sheria za ulinganifu. Baadaye alikuwa profesa mbadala wa kwenye sheria za masuala binafsi, sheria za biashara, sheria za kimataifa, sheria za ulinganifu na sheria za kazi katika Chuo Kikuu cha Konstanz. Baadaye aliombwa na Chuo Kikuu cha Köln kuwa profesa wa sheria za masula binafsi na hapohapo akaombwa na Chuo Kikuu cha Mainz kuwa profesa wa sheria za masuala binafsi, sheria za kimataifa na sheria za ulinganifu. Alikubaliana na maombi ya Chuo Kikuu cha Mainz na kuteuliwa kuwa profesa mwezi Desemba 1987.
 
Mwaka 1989, Schwenzer alipewa cheo cha uprofesa kwenye kiti cha sheria za masuala binafsi katika chuo Kikuu cha Basel. Baadaye alipewa nafasi na Chuo Kikuu cha Kiev kuwa profesa wa sheria za masuala binafsi za Ujerumani na Jumuiya ya Ulaya na pia aliombwa Chuo Kikuu cha Humboidt,Berlin (1995) kuwa profesa wa sheria za masuala binafsi. Maombi yote aliyakataa. Kwa mwaka 2107, alistaafu kutoka chuo kikuu cha Basel.
 
Tangu mwaka 2010 hadi mwaka 2016, Schwenzer anafanya kazi ya ziada kama profesa kwenye Chuo Kikuu cha City Hong Kong tangu mwaka 2010 hadi 2016 na chuo kikuu cha Griffith, Australia, tangu mwaka 2013 hadi 2016.
 
Tangu mwaka 2014 Schwenzer wa (SiLS)- Swiss International Law School
Kwa miaka mingi, Schwenzer alikuwa profesa mwalikwa kwenye taasisi mbalimbali: 1994 – 2002 katika Europainstitut, Basel, Switzerland; mwaka 2008 katika Université de Paris Val-de-Marne, France; mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Victoria Wellington, New Zealand; mwaka
 
2010Kwa miaka mingi, Schwenzer alikuwa profesa mwalikwa kwenye taasisi mbalimbali: 1994 – 2002 katika Europainstitut, Basel, Switzerland; mwaka 2008 katika Chuo kikuu cha Paris Val-de-Marne, France; mwaka 2009 katika Chuo Kikuu cha Victoria Wellington, New Zealand; mwaka  2010 katika Chuo Kikuu cha  Loyola Chicago, USA; mwaka 2011 katika Chuo Kikuu cha   Buea, Cameroon; na pia mwaka 2011 katika Chuo Kikuu cha  İstanbul Bilgi, Turkey 2012 katika chuo kikuu cha Ankara,Turkey, pia Katika mwaka 2012 chuo kikuu cha Pontifícia Universidade Católica do Paraná,Brazil, Katika mwaka 2013 chuo kikuu cha Universitetet i Oslo, Norway ; mwaka 2014 katika chuo kikuu cha Griffith, Australia; mwaka 2015 katika chuo kikuu cha Dar el-Hekma, Jeddah, Saudi Arabia.
 
== Maeneo anayopendelea kufanyia Utafiti ==
 
==== Maoni kwenye jarida la CISG ====
Schwenzer anahariri jarida linaloongoza kutoa maoni juu ya the UN Convention on Contracts for the International Sale of Goods (CISG). Jarida hili lilichapishwa kwenye lugha ya Kijerumani (Toleo la 56 mwaka 20072013)<ref>http://d-nb.info/989417662</ref>, Kiingeleza (Toleo la 34 mwaka 20092016)<ref>http://d-nb.info/999239821</ref>, na <sup>[3]</sup>Kispaniola (Toleo la 1 mwaka 2011)<ref>http://www.worldcat.org/title/schlechtriem-schwenzer-comentario-sobre-la-convencion-de-las-naciones-unidas-sobre-los-contratos-de-compraventa-internacional-de-mercaderias/oclc/754653801&referer=brief_results</ref>. KwaKireno sasa(2014), jaridaKituriki hilo(2015), linatafsiriwakifaransa, kwenyekichina, lughakirusi yana matoleo Mandarinzaidi Chinesezinaendelea.
 
==== CISG-online.ch ====
Mpaka kustaafu kwake kwa mawaka 2017 Schwenzer anaendesha mtandao wenye taarifa za kina kuhusu kesi muhimu kuhusu CISG. Mtandao huu umeenea kwenye nchi zinazoongea lugha ya kijerumani. Mtandao huu ulianzishwa mwaka 1995 na Peter Schlechtriem katika Chuo Kikuu cha Freiburg i. Br. Tangu mwaka 2002 unaendeshwailikuwa unasimamiwa  na Schwenzer katika Chuo Kikuu cha Basel tangu mwaka 1995 hadi mwaka 2015.
 
==== Willem C. Vis International Commercial Arbitration Moot ====
=== Model Family Code ===
Kwenye mwaka 2006, Schwenzer aliaandaa rasimu ya kuunganisha sheria za familia, inayoitwa the Model Family Code1, kwa kushirikiana na Mariel Dimsey. Ulinganifu wa kina kwenye sheria za familia za Ulaya, Amerika na Oceania ndio ulioweka msingi wa kuandaa Model Family Code . Faida ya Model Family Code na sheria za kifamilia za nchi zingine ni kwamba inajumuisha mambo muhimu katika sheria za kifamilia. Aidha, Model Family Code inaruhusu kuzingatia masuala ya utamaduni katika sheria za kifamilia.
 
SiLS-Swiss International Law School
 
Schewenzer ni Mkuu wa Swiss International Law School (SiLS), binafsi mtandao msingi shule ya sheria sadaka mpango LL.M
 
== Machapisho muhimu na Uhariri ==
Kwa mujibu wa orodha ya machapisho ya   Schwenzer iliyotolewa na(kama Chuoya KikuuFebruari cha Basel (Oktoba 20112017),2 <sup>[7]</sup> Schwenzer ametoa machapisho binafsi 1417, michangoama kwenyeharidi kazizaidi 48,ya maonivitabu kwenye majarida 7340, na michango kwenyekuandikwa makala 21, makala 1zaidi ya kwenye200 gazeti,na uchambuzi wa kesi 17, mapitiomichango ya vitabu 28 na machapisho mengine 5fafanuzi. Aidha, amefanya uhariri kwenye machapisho 19 ambapo miongo mwake ni:
 
* with Pascal Hachem and Christopher Kee: Global Sales and Contract Law, Oxford: Oxford University Press 2011 (expected), ISBN 978-0-19-957298-4
<nowiki>https://www.ingeborgschwenzer.com/publications</nowiki>
* Allgemeine Einleitung, Artt. 125 - 132 ZGB, in: Schwenzer (editor), Familienrechtskommentar Scheidung, 2. Aufl., Bern 2011, ISBN 978-3-7272-2882-7
* editor, Familienrechtskommentar Scheidung (2 volumes), 2nd edition, Bern: Stämpfli Verlag AG 2011, ISBN 978-3-7272-2882-7
* editor, with Edgardo Muñoz, Schlechtriem & Schwenzer: Comentario sobre la convencion de las Naciones Unidas sobre los contratos de compraventa internacional de mercaderias, Cizur Menor (Navarra): Editorial Aranzadi SA 2011, ISBN 978-84-9903-761-5
* Familie und Recht, Bern: Stämpfli Verlag AG 2010, ISBN 978-3-7272-8726-8
* editor, Schlechtriem & Schwenzer, Commentary on the UN Convention on the International Sale of Goods (CISG), 3rd edition, Oxford: Oxford University Press 2010, ISBN 978-0-19-956897-0
* Schweizerisches Obligationenrecht, Allgemeiner Teil, 5th edition, Bern: Stämpfli Verlag AG 2009, ISBN 978-3-7272-0938-3
* Arts. 35 - 44, 74 - 77, 79 - 80 CISG, in: Schwenzer (editor), Schlechtriem/Schwenzer, Kommentar zum Einheitlichen UN-Kaufrecht - CISG, 5th edition, München 2008, ISBN 978-3-406-57549-5
* editor, Schlechtriem/Schwenzer, Kommentar zum Einheitlichen UN-Kaufrecht - CISG, 5th edition, München/Basel: Verlag C.H. Beck/Helbing & Lichtenhahn Verlag 2008, ISBN 978-3-406-57549-5
* editor, with Christiana Fountoulakis, International Sales Law, London/New York: Routledge 2007, ISBN 978-0-415-41963-5
* with Mariel Dimsey, Model Family Code, Antwerp/Oxford: Intersentia 2006, ISBN 978-90-5095-590-4
* Restitution of Benefits in Family Relationships, International Encyclopedia of Comparative Law, Vol. X: Restitution - Unjust Enrichment and Negotiorum Gestio, Chapter 12, Tübingen/Dordrecht/Boston/Lancaster: Martinus Nijhoff Publisher 1997, ISBN 978-90-04-16309-6
* Vom Status zur Realbeziehung – Familienrecht im Wandel, Baden-Baden: Nomos Verlag 1987, ISBN 3-7890-1492-3
* Die Freizeichnung des Verkäufers von der Sachmängelhaftung im amerikanischen und deutschen Recht (Arbeiten zur Rechtsvergleichung, Band 95), Frankfurt a.M. 1979, ISBN 3-7875-0195-9
 
== Uanachama katika jumuiya mbalimbali ==
·        Tangu mwaka 2016 mwanzilishi mwanachama wa kiengo cha chuo cha utatuzi wakimataifa.
* 2011 – Mshauri wa sheria kwenye Wizara ya Sheria ya Uswizi
 
* Tangu mwaka 2010 ni mjumbe wa Taasisi ya Sheria za Ulaya
·        Tangu mwaka 2015 mwanachama wa taasisi yasheria ya kimarekani.
* Tangu mwaka 2008 ni mjumbe wa kila mara kwenye masula ya Sayansi na mambo ya jamii katika Chuo cha Berlin Brandenburg.
 
* Tangu mwaka 2004 ni Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya Chama cha Wanasheria wa Ujerumani.
* ·        Tangu mwaka 20032014 niBodi ya mjumbeWakurugenzi wa BodiChuo yacha KituoKimataifa cha SayansiSheria ya familiabiashara chana matumizi vya Basel,Switzerlandmwanachama.
 
* Tangu mwaka 2003 ni mjumbe wa Bodi ya Ushauri wa CISG
* ·        Tangu mwaka 20012013 ni mjumbemwanachama wa Timubodi ya Wataalamjamii wa Tumesheria ya Ulayakimataifa kwenye Sheria zaya kifamiliaujeremani.
 
* 1999 – 2005 ni mjumbe wa Bodi ya Chama cha wahadhiri wa sheria binafsi (Zivilrechtslehrervereinigung)
·        Tangu 2011 mwenyekiti wa baraza la ushami wa CISGC(Convention on Contracts for the International Sale of Goods) Advisory Council).
 
·        Tangu mwaka 2011 mwanachama wa chama cha sheria ya kimataifa, tawi la Swiss.
 
·        Tangu mwaka 2010 mwanachama wa chuo cha sheria ya ulaya
 
·        Tangu mwaka 2010 mwanachama wa Baraza la Taasisi ya Usuluhishi Mashirika ya Kimataifa ya kielimu
 
·        2004 - 2012 Naibu Mwenyekiti wa Bodi ya Ujerumani ya chama ya wanasheria
 
·        Tangu mwaka 2001 Mwanachama wa Kundi Mtaalam wa Tume ya Sheria za familia Ulaya
 
·        Tangu mwaka 2000 mwanachama wa Chuo cha Kimataifa cha Sheria ya kulinganisha
 
* ·        1999-2005 ni mjumbemwanachama wa Bodi ya Chama cha wahadhiri wakatika sheriaSheria binafsi (Zivilrechtslehrervereinigung)
 
·        1993-2006 mwanachama wa wa bodi la Taasisi ya Sheria ya kulinganisha Swiss
 
== Tuzo ==
== Marejeo ==
{{Marejeo}}
* [null www.swissintlawschool.org][[# msocom 1|[WU1]]] 
----[[# msoanchor 1|[WU1]]]Text pulled from the English version
 
{{DEFAULTSORT:Schwenzer, Ingeborg}}
Anonymous user