Senati : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d →‎Senati katika nchi mbalimbali: All info is kept in Wikidata, removed: {{Link FA|ka}} using AWB (10903)
Mstari 12:
Senati ya Roma ilikuwa mfano kwa nchi nyingi; katika lugha za Ulaya taasisi mbalimbali huitwa kwa jina hili.
 
== Senati kama kitengo cha bunge katika nchi mbalimbali ==
Nchi mbalimbali huwa na senati kama sehemu ya [[bunge]] kama ni bunge ya vitengo viwili (nyumba mbili, vyumba viwili); hapo "senati" kwa jumla ni jina la "nyumba ya juu".
 
Katika [[Marekani]] "[[Senati (Marekani)|Senati]]" ni kitengo kimoja cha [[bunge]] ikiwa na mamalaka nyingi kuhusu siasa ya nje na kuthebitishwa kwa maafisa wakuu wa serikali. Rai anahitaji kibali cha senati kwa sehemu muhimu za siasa zake. Senati ya Marekani inaweza kusimamisha sheria zilizoamuliwa na [[Nyumba ya Wawakilishi]] (sehemu nyingine ya bunge). Senati ina wajumbe wawili kutoka kila dola la Mareakni wanaochaguliwa kwa muda wa miaka 6.