Kitenzi kikuu : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika '{{ExamplesSidebar|35%| *Kawaida yetu '''kukimbiza''' maisha ya kila siku *Kijana '''anakula''' chakula cha jana *Dada '''kachoka''' kutembea *Mlinzi '''analind...'
 
No edit summary
Mstari 14:
*Chakula <u>kimepikwa</u> vizuri
*Sisi <u>tunasoma</u> somo la Kiswahili
Sifa za Kitenzi kikuu
* Huweza kusimama peke yake katika tungo au sentensi na kukamilisha taarifa bila ya kuwepo kitenzi kingine.
Mfano; Mama '''anakula'''
* Huweza kuonesha ukanushi au uyakinishi
Mfano; Mimi '''ninakimbia''' (uyakinishi)
 
Wewe '''hutaimba''' wimbo huu (ukanushi)
* Huundwa kwa viambishi mbalimbali.
Mfano; Wa- ta- mu- on-a
 
==Tazama pia==
*[[Lango:Lugha]]