Iwiji : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 12:
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Mbeya Vijijini|Mbeya Vijijini]]
|wakazi_kwa_ujumla = 1331915,056
|latd= |latm= |lats= |latNS=S
|longd= |longm= |longs= |longEW=E
Mstari 18:
 
}}
'''Iwiji ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,056 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53213.
 
Kuna vijiji vya Iwiji, Isende, Masewe, Izumbwe II, Izyira na Inuka.
'''Iwiji''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 13,319 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040320095130/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|archivedate=2004-03-20}}</ref>
 
{{lugha}}
==Kijiji cha Izyira==
kijiji cha izyira kiko wilaya ya mbeya vijijini kata ya Iwiji kijiji hiki kanapakana na kijiji ibeza wilaya ya Ileje kusini mashariki kusini kinapakana na Wilaya Mbozi vijiji vya Hezya na kijiji cha cha namwangwa na kuendelea mpaka magharibi kijiji cha Haraka naIdiwili kaskazini kuna kijiji cha Iwiji na safu ya milima mbeye namlima makungulu iliyoambatana na msitu mag'onga msitu mbogho.misitu hii ni muhimu sanasana kwakuwa ndicho chanzo kikuu cha mito mkuu mitatu mto magole mto salaga na mto mafumbo.Mito hii ndio chanzo pekee ambayo inashilia asilimia 85 ya kilimo cha umwangiliaji wa vijiji vyote katika ukanda wa vijijivyote nilivyovitaja katika mfururizo wa vijiji vilivyopo kijijini na vijiji vyote vinavyopakana na kijiji hiki cha IZYIRA. Kijiji hiki kana kaliwa na makabila matatu tu WANYIHA WANDALI na WAMALILA Kwa asilimia kidogo.Kijiji hiki kna mila na desturi zake kikiongozwa na mila za kijadi kiongozi akiitwa mwene wa UKOO wa mwazermbe pia kuna Dini za kkristo hasa madhehebu yaliyo kwenye jumhia CCT. Kijiji hiki kina shele tatu IZYIRA SHULE MAMA iliyoanzaishwa mnamo miaka ya 1957 kwa mfumo wa shule za TAPA iliyoanza na mwalimu mzawa MWAL.WIRFRED MTINDO MWAZEMBE baadaye kuwa shule ya Msingi miaka ya karibuni zilianzishwa shle mbili kutokana na ongezeko la watu ambazo ni mwenge na shule ya msingi masewe pia wananchi katika mfumo wa kila kata kujenga shule ya sekondari kijiji kama kijijiwaqlijenga shule ya sekondari ya kijiji kwa mpango wa kijitolea pamoja na kuwa na shule ya sekondari ya kata ambayo ipo makao ya kata pale Iwiji Kijiji hiki kinahudumiwa na barabara kuu kutoka mbalizi ikipitia vijiji vifuatavyo mbalizi Izumbwe I, Mganjo,Isangati Santilya,Shipongo,Ilembo,Italazya,Shigamba,Izumbwe II,Iwiji barabara ianagawanyika kkushoto inakwenda MKAO MKUU YA WILAYA YA ILEJE -ITUMBA kulia barabara hii ndiyo inakwenda moja kwa moja IZYIRA hatimaye huendelea wilaya ya Mbozi kupitia vijiji vya HEZYA,NYIMBILI ILENGO SHUMBA HASAMBA na kuungana tena na barabara kuu ya DAR ES SALAAM mpaka Zambia pale makao mkuu ya wilaya vwawa mbozi.Cakula chao kikuu kinatokana na mazao ya chakula yaani mahindi, ndizi,viazi vitamu zao la biashara ni kahawa.Mito mitatu hupitia kijiji hiki,mto Magole upo mashariki sambamba na kijito kidogo kiitwacho itaga katikati kuna kijito kingine Salaga magharibi kuna mto mkubwa mafumbo na magharibi kuna kijito kingine,mito yote hii ndio chanzo kikuu cha uzalishaji wa chakula cha wakaazi wa kijiji cha IZYIRA na vijiji vya jirani mito hii mkubwa miwili yaani magole na mafumbo ikisaidiana na vijito hivi hitiririsha maji mwaka mzima.muungano wa mito hii miwili hufanya mto mmoja unaokkwenda kusini kupitia karibu sana na MAKAO MAKUU ya Wilaya ya ILEJE kuungana na mto Songwe ulio kama mpaka wa Tanzania na MALAWI.Kijiji hiki kina milima mkubwa mitatu kaskazini mlima mbeye,kaskazinimagharibi mlima makungulu magharibi kuna mlima mwira.Katika milima hii kuna misitu minene ambayo ndio maji ya mito hii huanzia katika misitu hiyo.
Kijiji cha Izyira kiko kata ya Iwiji. Kijiji hiki kinapakana na kijiji Ibeza cha [[wilaya ya Ileje]] kusini mashariki, kusini kinapakana na [[Wilaya ya Mbozi]] vijiji vya Hezya na kijiji cha cha Namwangwa na kuendelea mpaka magharibi kijiji cha Haraka na Idiwili kaskazini kuna kijiji cha Iwiji na safu ya milima Mbeye na mlima Makungulu iliyoambatana na msitu Mag'onga na msitu Mbogho.
 
Misitu hii ni muhimu kwa kuwa ndicho chanzo kikuu cha mito mikuu mitatu ambayo ni Mto Magole, Mto Salaga na Mto Mafumbo. Mito hii ndio chanzo pekee ambayo inashilia asilimia 85 ya kilimo cha umwangiliaji wa vijiji vyote katika ukanda wa vijiji vyote vilivyovitajwa hapo juu kuwa jirani ya Isyira.
 
Izyira hukaliwa na makabila matatu ya [[Wanyiha]], [[Wandali]] na [[Wamalila]]. Kijiji hiki kuna mila na desturi zake kikiongozwa na mila za kijadi. Kiongozi akiitwa mwene wa ukoo wa Mwazembe. Kati ya Wakristo kuna hasa madhehebu yaliyo kwenye jumuiya ya CCT. Kijiji hiki kina shule tatu. Izyira ni shule mama iliyoanzaishwa mnamo miaka ya 1957 kwa mfumo wa shule za TAPA iliyoanza na mwalimu mzawa Winfred Mtindo Mwazembe baadaye zilianzishwa shule mbili kutokana na ongezeko la watu ambazo ni Mwenge na shule ya msingi Masewe. Pia wananchi katika mfumo wa kila kata kujenga shule ya sekondari kijiji kama kijiji walijenga shule ya sekondari ya kijiji kwa mpango wa kijitolea pamoja na kuwa na shule ya sekondari ya kata ambayo ipo makao ya kata pale Iwiji
 
Kijiji hiki kinahudumiwa na barabara kuu kutoka mbalizi ikipitia vijiji vifuatavyo mbalizi Izumbwe I, Mganjo, Isangati Santilya, Shipongo, Ilembo, Italazya, Shigamba, Izumbwe II. Iwiji barabara inagawanyika, kushoto inakwenda makao makuu ya Wilaya ya Ileje yaani Itumba na kulia barabara hii ndiyo inakwenda moja kwa moja Izyira hatimaye huendelea Wilaya ya Mbozi kupitia vijiji vya Hezya, ,Nyimbili, Ilengo, Shumba, Hasamba na kuungana tena na barabara kuu ya Dar es Salaam mpaka Zambia pale makao mkuu ya Wilaya ya Vwawa.
 
Chakula chao kikuu kinatokana na mazao yaani mahindi, ndizi na viazi vitamu. Zao la biashara ni kahawa. Mito mitatu hupitia kijiji hiki, mto Magole upo mashariki sambamba na kijito kidogo kiitwacho Itaga katikati kuna kijito kingine Salaga magharibi kuna mto mkubwa Mafumbo na magharibi kuna kijito kingine. Mito yote hii ndio chanzo kikuu cha uzalishaji wa chakula cha wakaazi wa kijiji cha Izyira na vijiji vya jirani mito hii mkubwa miwili yaani Magole na Mafumbo ikisaidiana na vijito hivi kutiririsha maji mwaka mzima. Muungano wa mito hii miwili hufanya mto mmoja unaokwenda kusini kupitia karibu sana na Itumba kuungana na [[mto Songwe]] ulio kama mpaka wa Tanzania na Malawi. Kuna milima mkubwa mitatu kaskazini ambayo ni Mlima Mbeye, kaskazini magharibi Mlima Makungulu na magharibi kuna Mlima Mwira. Katika milima hii kuna misitu minene ambayo ndio maji ya mito hii huanzia katika misitu hiyo.
Kutokana na ongezeko la watu misitu hii miaka ya karibuni kumekuwa na uharibifu mkubwa na kusababisha mito hii kupungua sana tena sana kwa ujazo wa maji na kusababisha kupungua kwa kiwango cha unyeshaji wa mvua, kama hatutakuwa na mkakati wa kuzuia uharibifu huu wa misitu hii msitu Magh'onga na msitu Mbogho upo uwezekano wa mito hii kukauka na kusababisha hali mbaya kwa vijiji vyote vinavyopata huduma ya maji ya mito hii mikubwa si IZYIRA tu hata WILAYA jirani kama ILEJE na Mbozi.Kijiji hiki. pamoja na kuwa na vitongoji kumi vinahudumiwa na ZAHANATI MOJA TU.Mwananchi wa kijiji cha IZYIRA na wadau wengine manaosoma kwenye TUVUTI au Kusoma makala hii naomba michango yenu ya mawazo kuiokoa mito hii nasi tuishi kwa ajili ya mito yenye kutiririsha maji mwaka mzima pamoja na mito hii kuwa chanzo kikuu cha kilimo miaka nyuma kuanzia 1978 ilikuwa na utajili wamaliasili ya viumbe maji viumbe hawo ni samaki.Miaka ya hivi karibuni viumbe hawa wamepungua sana tena sana kwa nini samaki wamepungu,chanzo kikubwa ni uvuvi haramu wa kutumia sumu pia na matumizi mabaya ya kilimo.kiiji hiki ni miongoni mwa vijiji vinavyozalisha zao la biashara ambalo ni kahawa takiribani kila mkazi wa kijiji hiki ana kisehemu cha kijishamba cha zao hili la kahawa japo miaka ya hivi karibuni zao hill limeanza kushuka thamani hii si tu kwa wakaazi wa kijiji hiki bali ni tatizo la wakulima wote wa kahawa Tanzania
 
Kijiji hiki, pamoja na kuwa na vitongoji kumi vinahudumiwa na zahanati moja tu.
 
==Marejeo==