Utengule/Usongwe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d fixing dead links
No edit summary
Mstari 12:
|subdivision_type2 = [[Wilaya za Tanzania|Wilaya]]
|subdivision_name2 = [[Wilaya ya Mbeya Vijijini|Mbeya Vijijini]]
|wakazi_kwa_ujumla = 41,952
|latd=8 |latm=40 |lats=47 |latNS=S
|longd=33 |longm=51 |longs=35 |longEW=E
Mstari 18:
 
}}
'''Utengule Usongwe ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 41,952 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53208.
 
'''Utengule''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbeya Vijijini]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa [[2002]], kata ina wakazi wapatao 44,135 waishio humo. <ref>{{cite web|url=http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|title=2002 Population and Housing Census General Report|publisher=Government of [[Tanzania]]|language=en|accessdate=2008-08-21|archiveurl=http://web.archive.org/web/20040320095130/http://www.tanzania.go.tz/census/census/districts/mbeyarural.htm|archivedate=2004-03-20}}</ref>
 
Kijiji cha Utengule iko kilomita 16 kutoka [[Mbeya (mji)|Mbeya mjini]] kupitia [[Mbalizi]]. Kuna kanisa na chuo cha Biblia cha Moravian. Mazingira ya Utengule pana mashamba ya [[kahawa]] na shamba kubwa ambalo ni mali ya Waswisi walioanzisha pia hoteli ya Utengule Country Club.
Line 26 ⟶ 25:
Jina na mahali ni kihistoria; Utengule ilianzishwa na chifu Tovelamahamba [[Merere II]] wa [[Wasangu]] aliyepaswa kutoka [[Utengule Usangu]] baada ya kushambuliwa mara kwa mara na [[Wahehe]] chini ya [[Mkwawa]]. Alijenga Utengule mpya hapa Usafwa kwenye mtelemko wa mlima Mbeya mahali panapotazama bonde la [[mto Songwe]]. Utengule hii ya Merere II ilikuwa mji uliozungukwa na ukuta na sehemu za ukuta huu bado zinasimama kati ya mashamba na nyumba za kijiji. Merere akishirikiana na Wajerumani katika vita ya Wajerumani dhidi ya Wahehe na baada ya kifo cha Mkwawa Merere III alirudi Usangu alipojenga Utengule upya.
 
Kabla ya kuondoka Merere aliwahi kuwakaribisha wamisionari [[Wamoravian]] walioanzisha kituo cha nje ya mji wa Wasangu mwaka 1895 na kituo hiki cha Wamoravian kilikuwa kitovu kipya cha kijiji. Wamoravian walijenga kanisa, shule na karahana walipofundisha mafundi. Jengo la kanisa lipo hadi leo pamoja na chuo cha Biblia kinachosomesha wainjilisti wa [[Kanisa la Moravian kusiniKusini magharibiMagharibi Tanzania]] (KMKMT). Askofu Mwafrika wa kwanza wa KMKMT [[Yohane Wawenza]] alikuwa mwenyeji wa Utengule.
 
==Marejeo==