Afrika ya Mashariki ya Kijerumani : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
Mstari 41:
 
===Wakazi===
Mwaka [[1913]] [[takwimu]] ya Wajerumani ilihesabu wakazi Waafrika 7,645,000, Waasia ([[Wahindi]] na Warabu[[Waarabu]]) 14,898 na [[Wazungu]] 5,336, kati yao Wajerumani 4,107. [[Nusu]] ya wakazi wote waliishi katika eneo la [[Maziwa makubwa ya Afrika|maziwa makubwa]] ambako [[serikali]] ya kikoloni iliacha maeneo ya Rwanda (wakazi 2,000,000), Burundi (1,500,000) na [[Bukoba]] (275,000) kama [[maeneo lindwa]] chini ya watawala wa kienyeji waliosimamiwa na [[afisa mkazi]] Mjerumani.<ref>[[Kamusi ya Koloni za Kijerumani]], makala "Deutsch-Ostafrika", fungu 9. Bevölkerungsstatistik.</ref>
 
 
== Chanzo cha koloni ==
Line 53 ⟶ 52:
 
== Juhudi za Karl Peters ==
[[Picha:Petersland east africa 1885.png|thumb|250px|Maeneo ya kwanza yaliyotwaliwa na Karl Peters.]]
Koloni hili lilianzishwa na mfanyabiashara Mjerumani [[Karl Peters]] mwaka 1885 kwa niaba ya "[[Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki]]".
 
Line 106 ⟶ 105:
 
==Utawala==
Eneo lote la koloni liligawiwa kwakatika mikoa 21 na maeneo matatu yaliyokuwa bado chini ya watawala wa kienyejiwenyeji kwa mfumo wa [[maeneo lindwa]]. Hadi 1913 mikoa 19 ilikuwa chini ya utawala wa kiraia, yaani chini ya maafisa wa serikali ya kikoloni. Mikoa miwili ya [[Mkoa wa Iringa|Iringa]] na [[Mahenge]] ilikuwa bado chini ya utawala wa kijeshi yaani hapo walikuwa maafisa wa Schutztruppe waliotekeleza majukumu yote ya serikali.
Mikoa chini ya usamimizi wa kiraia ilikuwa:
 
1. [[Tanga]] </br>
Line 130 ⟶ 129:
19. [[Bismarckburg]]</br>
 
Mikoa chini ya usimamizi wa kijeshi:
 
21. [[Iringa]] pamoja na kituo cha kijeshi Ubena </br>
22. [[Mahenge]]</br>
 
Maeneo lindwa:
 
[[Bukoba]] pamoja na vituo vya kijeshi Usuwi na Kifumbiro </br>
[[Rwanda]], mji mkuu [[Kigali ]], kituo cha kijeshi Mruhengeri</br>
[[Burundi]], mji mkuu [[Gitega]], pamoja na ofisi ndogo Usumbura ([[Bujumbura]]).</br>
 
==Tanbihi==