Rujewa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
d fixing dead links |
No edit summary |
||
Mstari 18:
}}
'''Rujewa ''' ni jina la kata ya [[Wilaya ya Mbarali]] katika [[Mkoa wa Mbeya]], [[Tanzania]]. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 29,473 <ref>[http://www.meac.go.tz/sites/default/files/Statistics/Tanzania%20Population%20Census%202012.pdf Sensa ya 2012, Mbeya - Mbarali DC]</ref> walioishi humo. [[Msimbo wa posta]] ni 53601.
Rujewa iko katika tambarare ya Usangu ambvako maji ya mito kutoka milima ya jirani yanakusanyika na kuwa chanzo cha Mto Ruaha. Hivyo eneo latumiwa kwa [[kilimo]] cha [[umwagiliaji]].
==Marejeo==▼
{{marejeo}}▼
==Historia ya Rujewa==
{{Kata za Wilaya ya Mbarali}}▼
Jina
==Watwala wa jadi==
{{mbegu-jio-mbeya}}▼
==Uchumi==
[[Jamii:Mkoa wa Mbeya]]▼
Rujewa
[[Jamii:Wilaya ya Mbarali]]▼
▲Jina rujewa linatokana na mtu mmoja wa kwanza kuishi rujewa aliyeitwa Mjewa,aliyekuwepo miaka mingi na familia yake wakaitwa Wajewa ndio hata leo hii Pakaitwa Rujewa,
▲kwakuwa wenyeji wa mwanzo hapa rujewa walikuwa Wasangu walikuwa na mtawala wao wa jadi aliyeitwa Chifu Merere.
▲Rujewa pia ni maarufu kwa kilimo cha mpunga hasa ukiangalia rujewa ndiko yaliko mashamba ya mbarali estate na mashamba ya mpunga ya kule kapunga,lakini pia wenyeji wa rujewa ni wasangu,wabena,wakinga na hata kuna waburushi kutoka pakistan ambao wamekuwa nao ni wenyeji hasa wa rujewa kwani hufanya shughuli kwa kushilikiana na wenyeji wa rujewa,
▲==Marejeo==
▲rujewa inasifika kwa kutoa mchele mzuri kuliko eneo lolote la hapa tanzania,na baadhi ya mazao ya biashara yanayolimwa hapa rujewa ni kama alizeti,lakini pia rujewa inastawi mazao mengi ya chakula kama vile karanga,mahindi,ulezi nk
▲{{marejeo}}
▲{{Kata za Wilaya ya Mbarali}}
▲{{mbegu-jio-mbeya}}
▲[[Jamii:Wilaya ya Mbarali]]
▲[[Jamii:Kata za Mkoa wa Mbeya]]
|