Kalenda ya Gregori : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
→‎Viungo vya Nje: Removed a dead link.
Mstari 8:
 
=== Miaka mirefu ===
Kalenda ya Gregori inashika vizuri muda wa mwaka mwenyewe. Muda kamili wa mzunguko mmoja wa [[dunia]] kwenye [[mzingo (jiometria)|mzingo]] wake ni siku 365.2425 kwa hiyo unazidi muda wa mizunguko 365 wa dunia kwenye kipenyo chake. Hivyo Kalenda ya Gregori inatumia utaratibu ufuatao wa kupatanisha tofauti hiyo:
* kila mwaka wa nne utakuwa na siku 366 badala ya 365 kwa kuongeza tarehe [[29 Februari]]. Mifano: 1892, 1996; 2004, 2008, 2012
* kila mwaka ambao namba yake inagawiwa kwa 100 utakuwa na siku 365 (siyo 366 kwa sababu miaka hii inagawiwa kwa 4 pia!). Mifano: 1700, 1800, 1900, 2100