Wilaya ya Ludewa : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
No edit summary |
No edit summary |
||
Mstari 2:
'''Wilaya ya Ludewa''' ni wilaya mojawapo ya [[Mkoa wa Njombe]].
Katika [[sensa]] ya mwaka [[2002]], idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 128,520 <ref>[http://
Ludewa iko upande wa kaskazini-mashariki ya [[Ziwa Nyassa]]. Makao makuu ni mji wa [[Ludewa]]. Wilaya imepakana na wilaya za [[wilaya ya Njombe|Njombe]] na [[wilaya ya Makete|Makete]], upande wa mashariki na [[mkoa wa Ruvuma]] na upande wa kusini na nchi ya [[Malawi]] ng'ambo ya ziwa.
Mstari 9:
Karibu na [[Lugarawa]] akiba kubwa ya mtapo wa chuma imetambuliwa kuna mpango wa kuanzisha [[migodi ya Liganga]]. Akiba ya madini za chuma nia zaidi ya tani bilioni 1 na hivyo akiba kubwa inayojulikana Afrika.
==Marejeo==
<references/>
{{Kigezo:Kata za Wilaya ya Ludewa}}
|