Kisawe : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
'''KisaweVisawe''' ni [[neno]maneno] lenyeyenye maana ileile ya nenomaneno linginemengine; kwa mfano [[jogoo]] kisawe chake ni [[kikwara]], [[bamia]] kisawe chake ni [[binda]] na mengineyo.
 
Visawe vinaonyesha [[utajiri]] wa [[lugha]] fulani na huwezesha kuremba [[sentensi]], [[mazungumzo]] na [[maandishi]] viwe vya [[uzuri]] wa [[fasihi|kifasihi]].