Wazalendo wa lugha hawa ni watu ambao wanaithamini na kutumia lugha yao. Mfano wa lugha hizo ni Kiswahihi, Kiingereza, Kiarabu na kadhalika. Kuna umhimu tofautitofauti wa kutumia lugha yako bila kujali tofauti za lugha tu.