Ratili : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 5:
Inalingana na "pauni" (pound) ya Ulaya.
 
Ratili ilipokelewa kutoka vipimo vya Kiarabu "ratl" ikatumiwailiyotumiwa vilekwa jina hili katika sehemu nyingi za chinchi za Kiislamu. Lakini uzani wa ratl ilikuwa tofauti kati ya nchi, majimbo na miji, kuanzia gramu 340 hadi zaidi ya kilogramu 2. Ratili ya Uswahilini ililingana zaidi na ratl jinsi ilivyotumiwa Uarabuni katika eneo la Makka iliyokuwa kidogo juu ya gramu 400.<ref>Makala "Makayil" katika The Encyclopedia of Islam, Leiden 1991, Vol VI, MAHK—MID</ref>
 
== Marejeo ==