Kicheche : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Nyongeza jamii
Masahihisho na picha mpya
Mstari 6:
| maelezo_ya_picha = Kicheche-nyoka (''Poecilogale albinucha'')
| domeni =
| himaya = [[Mnyama|Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| ngeli = [[Mamalia|Mammalia]] <small>(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small>
| oda = [[Carnivora]] <small>(Wanyama mbua)</small>
| nusuoda = [[Caniformia]] <small>(Wanyama kama [[mbwa]])</small>
Mstari 17:
''[[Poecilogale]]'' <small>[[Oldfield Thomas|Thomas]], 1883</small>
''[[Vormela]]'' <small>[[Johann Heinrich Blasius|Blasius]], 1884</small>
| spishi = Angalia katiba
}}
'''Vicheche''' au '''cheche''' ni [[mnyama|wanyama]] wa [[jenasi]] mbalimbali katika [[familia (biolojia)|familia]] [[Mustelidae]]. Wanyama hawa ni miongoni mwa wale wanaotoa vundo mbaya kabisa. Wataalamu wengine wanadai kwamba [[kicheche wa kawaida]] ananuka vibaya kuliko wanyama wote. Vundo hii inatoka [[tezi|matezi]] karibu na [[mkundu]] kama mnyama akitishwa, na kwa kawaida adui atoroka. [[Spishi]] zote zina pua, kidari, tumbo na miguu nyeusi. Zile za [[Afrika]] zina milia myeupe na myeusi mgongoni, zile za [[Amerika]] zina mgongo kijivu na ile ya [[Ulaya]] ina mgongo njano wenye madoa meusi. Vicheche hula [[mnyama|wanyama]] wadogo, [[ndege (mnyama)|ndege]] na [[mjusi|mijusi]] wadogo, [[mdudu|wadudu]], [[samaki]], [[amfibia]], [[nyoka]] na hata [[tunda|matunda]] na [[nyasi|manyasi]].
 
==Spishi za Afrika==
Line 32 ⟶ 31:
 
==Picha==
<gallery>
Ictonyx libyca multivittata.jpg|Kicheche-jangwa
Ictonyx striatus - Museo Civico di Storia Naturale Giacomo Doria - Genoa, Italy - DSC02633.JPG|Kicheche wa kawaida
</gallery>
<gallery>
Picha:Galictis.jpg|Kicheche mdogo wa Amerika