Kuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Mstari 5:
| upana_wa_picha = 250px
| maelezo_ya_picha = Kuku: Jogoo na tembe
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordate|Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)
| nusufaila = [[Vertebrata]] <small>(Wanyama wenye uti wa mgongo)
| ngeli = [[Ndege (mnyama)|Aves]] <small>(Ndege)
| oda = [[Galliformes]] <small>(Ndege kama [[kuku]])
| familia = [[Phasianidae]] <small>(Ndege walio mnasaba na [[kwale (ndege)|kwale]])
| jenasi = ''[[Gallus]]'' <small>(Kuku)
| bingwa_wa_jenasi = [[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760
| spishi = ''[[Gallus gallus|G. gallus]]'' (Kuku)
| bingwa_wa_spishi = [[Carolus Linnaeus|Linnaeus]], 1758
| nususpishi = ''[[Gallus gallus domesticus|G. g. domesticus]]''
| bingwa_wa_nususpishi = (Linnaeus, 1758)
}}
'''Kuku''' ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] anayefugwa na [[binadamu]] tangu miaka 8,000 hivi. Watu hutumia [[nyama]] yake na [[mayai]] kama [[chakula]]. Katika nchi ya baridi [[laika|malaika]] yao ambayo ni manyoya madogo ya chini yanatumiwa kwa kujaza mashuka au makoti. [[Samadi]] ya kuku ni [[mbolea]] mzuri lakini inapaswa kukaa kwa muda kabla ya kutumiwa.
Line 25 ⟶ 26:
Katika mazingira asilia kuku huishi miaka 5-11 lakini wale wanaofugwa kwa wingi wanachinjwa baada ya wiki 6-8 kama ni kuku wa nyama na mwaka mmoja kama ni kuku wa mayai. Kati ya aina zinazofugwa kwa mayai karibu madume wote, yaani nusu ya vifaranga, wanauawa mara moja kwa sababu hawatagi mayai na aina hii haileti nyama ya kutosha.
 
Asili ya kuku zetu ni [[kuku -mwitu mwekundu]] wa [Indonesia[Asia ya Kusini-Mashariki]]. Ufugaji wake ulisambazwa [[Asia]] Bara na [[Polynesia]]. Mabaki ya mifupa ya kuku yamepatikana [[China]] yakiwa na umri wa miaka 8,000. Kutoka [[Asia ya Kusini-Magharibi]] kuku walisambazwa [[Uhindi]] na kupita [[Uajemi]] hadi [[Ugiriki]] na sehemu nyingine za [[Ulaya]]. Inaaminiwa ya kwamba kuku waliletwa [[Amerika Kusini]] kabla ya kuja kwa [[Kolumbus]] kupitia [[Pasifiki]].
 
== Utangulizi ==