Kuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
Mstari 6:
| maelezo_ya_picha = Kuku: Jogoo na tembe
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small>
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small>
| nusufaila = [[Vertebrata]] <small>(Wanyama wenye uti wa mgongo)</small>
| ngeli = [[Aves]] <small>(Ndege)</small>
| oda = [[Galliformes]] <small>(Ndege kama [[kuku]])</small>
| familia = [[Phasianidae]] <small>(Ndege walio mnasaba na [[kwale (ndege)|kwale]])</small>
| jenasi = ''[[Gallus]]'' <small>(Kuku-mwitu)</small>
| bingwa_wa_jenasi = [[Mathurin Jacques Brisson|Brisson]], 1760
| spishi = ''[[Gallus gallus|G. gallus]]''
Mstari 18:
| bingwa_wa_nususpishi = (Linnaeus, 1758)
}}
'''Kuku''' (''Gallus gallus domesticus'') ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] anayefugwa na [[binadamu]] tangu miaka 8,000 hivi. Watu hutumia [[nyama]] yake na [[mayai]] kama [[chakula]]. Katika nchi ya baridi [[laika|malaika]] yao ambayo ni manyoya madogo ya chini yanatumiwa kwa kujaza mashuka au makoti. [[Samadi]] ya kuku ni [[mbolea]] mzuri lakini inapaswa kukaa kwa muda kabla ya kutumiwa.
 
Kuku dume huitwa [[jogoo]] na jike ni [[tembe]]; mtoto wa kuku ni [[kifaranga]]. Kutokana na ufugaji uwezo wa kuruka umepotea.
Mstari 29:
 
== Utangulizi ==
Kuku, kisayansi Gallus galena – domestians’, ni ndege anayefugwa nyumbani akiwa ni miongoni mwa wanyama waliosambaa zaidi duniani. Mpaka kufikia bilioni 24 mwaka [[2003]], kuku ndio ndege walio wengi zaidi duniani. Binadamu huwatunza kuku majumbani mwao kama chanzo cha chakula, hasa ikiwa nyama na mayai yao.
 
Ilisemekana kuwa, kuku walianza huko India, lakini ushahidi wa sasa unaonyesha kuwa walianza huko [[Vietnam]] miaka 10,000 iliyopita, kisha wakaenea mapaka Ugiriki, [[Misri]] n.k.