Kuku : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Masahihisho
No edit summary
Mstari 18:
| bingwa_wa_nususpishi = (Linnaeus, 1758)
}}
'''Kuku''' (''Gallus gallus domesticus'') ni [[Ndege (mnyama)|ndege]] anayefugwa na [[binadamu]] [[Nyumba|nyumbani]] tangu miaka 8,000 hivi. WatuKwa hutumiasababu [[nyama]] yake na [[mayai]] kama [[chakula]]. Katika nchi ya baridi [[laika|malaika]] yao ambayohiyo ni manyoyamiongoni madogo ya chini yanatumiwa kwa kujaza mashuka au makoti.mwa [[Samadiwanyama]] yawaliosambaa kukuzaidi niduniani [[mbolea]] mzuri lakini inapaswana kukaandio kwandege mudawalio kablawengi yazaidi kutumiwaduniani.
 
Watu hutumia [[nyama]] yake na [[mayai]] kama [[chakula]]. Katika nchi ya baridi [[laika|malaika]] yao, ambayo ni manyoya madogo ya chini, yanatumiwa kwa kujaza [[Shuka|mashuka]] au [[koti|makoti]]. [[Samadi]] ya kuku ni [[mbolea]] nzuri lakini inapaswa kukaa kwa muda kabla ya kutumiwa.
Kuku dume huitwa [[jogoo]] na jike ni [[tembe]]; mtoto wa kuku ni [[kifaranga]]. Kutokana na ufugaji uwezo wa kuruka umepotea.
 
[[Idadi]] ya kuku [[duniani]] inakadiriwa kuwa zaidi ya [[bilioni]] 10 (mpaka kufikia bilioni 24 mwaka [[2003]]) na wengi wanafugwa kwa wingi wakiotamiwa na kuishi zizini. Kwa njia ya [[ufugaji]] aina nyingi za kuku zimeendelezwa kwa kuchagua wanyamawale wenye [[tabia]] maalumu na kuzaliana. Wanaofugwa siku hizi ni aina zinazotoa hasa nyama na aina nyingine zinatoa hasa ma[[yai]]mayai.
Kuku dume huitwa [[jogoo]] na jike ni [[tembe]]; [[mtoto]] wa kuku ni [[kifaranga]]. Kutokana na [[ufugaji]] uwezo wa kuruka umepotea.
Katika mazingira asilia kuku huishi miaka 5-11 lakini wale wanaofugwa kwa wingi wanachinjwa baada ya wiki 6-8 kama ni kuku wa nyama na mwaka mmoja kama ni kuku wa mayai. Kati ya aina zinazofugwa kwa mayai karibu madume wote, yaani nusu ya vifaranga, wanauawa mara moja kwa sababu hawatagi mayai na aina hii haileti nyama ya kutosha.
 
Katika [[mazingira]] asilia kuku huishi miaka 5-11 lakini wale wanaofugwa kwa wingi wanachinjwa baada ya [[wiki]] 6-8 kama ni kuku wa nyama na baada ya [[mwaka]] mmoja kama ni kuku wa mayai. Kati ya aina zinazofugwa kwa mayai karibu madume wote, yaani [[nusu]] ya vifaranga, wanauawa mara moja kwa sababu hawatagi mayai na aina hii haileti nyama ya kutosha.
Asili ya kuku zetu ni [[kuku-mwitu mwekundu]] wa [[Asia ya Kusini-Mashariki]]. Ufugaji wake ulisambazwa [[Asia]] Bara na [[Polynesia]]. Mabaki ya mifupa ya kuku yamepatikana [[China]] yakiwa na umri wa miaka 8,000. Kutoka [[Asia ya Kusini-Magharibi]] kuku walisambazwa [[Uhindi]] na kupita [[Uajemi]] hadi [[Ugiriki]] na sehemu nyingine za [[Ulaya]]. Inaaminiwa ya kwamba kuku waliletwa [[Amerika Kusini]] kabla ya kuja kwa [[Kolumbus]] kupitia [[Pasifiki]].
 
Asili ya kuku zetu ni [[kuku-mwitu mwekundu]] wa [[Asia ya Kusini-Mashariki]]. Ilisemekana kuwa, kuku walianza huko [[India]], lakini ushahidi wa sasa unaonyesha kuwa walianza huko [[Vietnam]] miaka 10,000 iliyopita. Ufugaji wake ulisambazwa [[Asia]] Bara na [[Polynesia]]. Mabaki ya [[mifupa]] ya kuku yamepatikana [[China]] yakiwa na [[umri]] wa miaka 8,000. Kutoka [[Asia ya Kusini-Magharibi]] kuku walisambazwa pia [[Uhindi]] na kupitakupitia [[Uajemi]] hadi [[Ugiriki]] na sehemu nyingine za [[Ulaya]], [[Misri]] n.k. Inaaminiwa ya kwamba kuku waliletwa [[Amerika Kusini]] kabla ya kuja kwa [[Kolumbus]] kupitia [[Pasifiki]].
== Utangulizi ==
Kuku ni ndege anayefugwa nyumbani akiwa ni miongoni mwa wanyama waliosambaa zaidi duniani. Mpaka kufikia bilioni 24 mwaka [[2003]], kuku ndio ndege walio wengi zaidi duniani. Binadamu huwatunza kuku majumbani mwao kama chanzo cha chakula, hasa ikiwa nyama na mayai yao.
 
Ilisemekana kuwa, kuku walianza huko India, lakini ushahidi wa sasa unaonyesha kuwa walianza huko [[Vietnam]] miaka 10,000 iliyopita, kisha wakaenea mapaka Ugiriki, [[Misri]] n.k.
[[File:Rooster portrait2.jpg|thumb|[[Jogoo]]]]
 
Line 39 ⟶ 36:
Kuku huweza kuishi kwa miaka mitano mpaka kumi na moja kadiri ya spishi husika. Kuku wa [[biashara]] hukua kwa wiki sita tu kabla ya kuchinjwa. Kuku wanaokula kwa kutangatanga huweza kuchinjwa kuanzia wiki ya 14 na kuendelea. Kuku maalumu wa mayai huweza hata kutaga mayai 300 kwa mwaka kila mmoja. Baada ya mwaka mmoja uwezo wa kuku kutaga hupungua na kuku hao huchinjwa kwa ajili ya nyama. Kuku aliyevunja rekodi ya dunia, ni yule aliyeishi kwa zaidi ya miaka 16.
 
[[BaiolojiaBiolojia]] ya kawaida ya [[mazingira]], kuku dume, jogoo, hutofautiana na kuku jike, tena kwa mwonekano wao. Majogoo huwa na kilemba na [[mkia]] maridadi, huku wakiwa pia na manyoya marefu mgongoni na shingoni mwao. Japo kuna baadhi ya aina ya kuku, ambao jogoo hawana kilemba chao, isipokuwa tu manyoya mengi.
 
Kuku wafugwao hawana uwezo mkubwa wa kuruka, japokuwa kuku wepesi wana uwezo wa kuruka juu ya uzio, kuta. Mara kadhaa kuku huruka kuyatizama mazingira yao, lakini mara nyingi huwa juu ya kuwakimbia adui.
Line 47 ⟶ 44:
Kuku pia huwa wasumbufu sana kuhusu mahali panapowafaa kutumika kwa majogoo huashiria uwepo katika himaya yake kwa majogoo wengine. Hata hivyo mara nyingine kuwika huwa ni kutokana na kusumbulia mara kadhaa. Temba hutumika mara baada ya kutaga na pia wakati wa kuwaita watoto wao.
 
== MaleziMakuzi ==
Jogoo anapopata chakula huwaita kuku wengine na kuwapa fursa ya kula kwanza. Hufanya hivi kwa kulia kwa mlio wa juu na kuinua chakula na kukiangusha tena mara kadhaa, jogoo hueleza mbele ya temba wake, kwa kumzunguka huku bawa moja likiwa chini na kucheza huku huamsha [[ubongo]] wa temba na jogoo huendelea na kazi ya kumzalisha temba huyo.
 
Line 65 ⟶ 62:
Siku hizi watu hukuza kuku kwa kutumia [[kemikali]] za viwandani, ambazo huleta madhara kwa kuku, hivyo kufanya ukuaji wao kuwa mbovu, mayai yao kuwa mabaya, hata [[ladha]] huwa mbaya. Afadhali tuachane na njia hizo, tufuate njia za kawaida za ufugaji wa kuku tutapata faida nzuri sana na manufaa makubwa kiafya.
 
== Kuku kama Chakulachakula ==
[[Picha:Roasted chicken.jpg|thumb]]
Nyama ya kuku hupendwa sana, hasa kwa ajili ya ladha yake na bei yake ndogo. Hupikwa kwa namna mbali mbali.
Line 72 ⟶ 69:
* [[Kuku Mashuhuri Tanzania]]
* [[Magonjwa ya Kuku]]
 
* [http://achengula.blogspot.com/p/ufugaji-wa-kuku.html Ufugaji wa Kuku-Sekta ya Mifugo Tanzania]
 
== Picha ==
Line 82 ⟶ 79:
</gallery>
 
==Viungo vya nje==
{{commonscat|Chicken|Kuku}}
* [http://achengula.blogspot.com/p/ufugaji-wa-kuku.html Ufugaji wa Kuku-Sekta ya Mifugo Tanzania]
{{mbegu-mnyama}}