Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Mstari 41:
 
== Vita katika makoloni ==
<sup>Tazama makala kuu: [[Kampeni za Kivita katika Afrika ya Mashariki (Vita ya Kwanza ya Dunia)|Vita Kuu ya Kwanza katika Afrika ya Mashariki]]</sup>
 
Vita ilienea haraka [[bahari]]ni na katika makoloni ya Ujerumani yaliyovamiwa na Waingereza, Wafaransa, [[Afrika Kusini]] na [[Japani]]. Makoloni yalikuwepo [[Afrika]] na kwenye [[visiwa vya Pasifiki]] pamoja na [[China]]. Ujerumani ilikuwa na vikosi vya kijeshi katika makoloni ya Afrika na pia huko [[Qingdao]] nchini [[China]].