Wikipedia:Ukurasa wangu na kurasa za kamusi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 7:
Afadhali ulizia maswali yako kwanza kwa [[Wikipedia:Wakabidhi#Wakabidhi_.28Administrators.29|Wakabidhi]], tuko tayari kukusaidia!
 
==Kuhariri ukurasa wako==
Nenda kwa "Mapendekezo" hapu juu kwenye ukurasa wako.
 
Ukibofya hapo unaweza kuamulia tabia mbalimbali jinsi unavyoonekana na kupatikana kwa watumiaji wengine wa wikipedia.
 
Unaweza kuchagua
* Maelezo ya kimsingi (pamoja na kubadilisha neno la siri)
* Lugha
* Hitiari za barua pepe (kama wengine wanaruhusiwa kukuandikia email kupitia wikipedia)
 
==Tahadhari kuhusu ukurasa wako==
'''Tahadhari moja kuhusu ukurasa wako:''' tafakari vema unachotaka kutangaza juu yako! Tafakari kama ni vema kutaja jina lako halisi. Ukifanya kazi na kuwa na mwajiri - labda itakusaidia au kuleta hasara kama bosi yako anajua unatumia muda wako kwenye wikipedia (hasa kama unahariri kutoka ofisini! - wengine hawapendi). Basi utaamua mwenyewe!