Tako la bara : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
d Bot: Migrating 1 interwiki links, now provided by Wikidata on d:Q134851
+kiungo
Mstari 1:
[[Image:Tako la bara.png|right]]
[[Image:Elevation.jpg|thumb|400px|Ramani ya dunia; sehemu za bahari ya takoni zaonyeshwa kwa buluu nyeupe]]
'''Tako la bara''' ([[ing.]] ''[[:en:continental shelf|continental shelf]]'') ni sehemu ya [[bara]] iliyoko chini ya maji ya [[bahari]]. Sehemu ya bahari hadi ya kina cha maji cha mita 200 huitwa "bahari ya takoni". Kwa wastani lina upana wa 70 – 80 km. Lakini kuna matako yenye upana wa kilomita zaidi ya 1,000 kama huko [[Siberia]] au nyembamba sana kama huko [[Kenya]].
 
Kanda hili la tako lazungusha kila bara. Katika historia ya dunia sehemu hizi ziliwahi kuwa nchi kavu katika vipindi ambako hali ya hewa ilikuwa baridi zaidi na kiasi kikubwa cha maji cha bahari kuwa barafu nchani.