Sakafu ya bahari : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
No edit summary
No edit summary
Mstari 1:
[[Picha:Oceanic divisions.svg|thumb|300px|Sakafu ya bahari jinsi ilivyo kwenye mtelemko wa [[tako la bara]] kuelekea hadi vilindi vya bahari.]]
'''Sakafu ya bahari''' (kwa [[ing.Kiingereza]] ''seabed, sea floor, seafloor au ocean floor'') ni sehemu ya chini kabisa ya [[bahari]] au, kwa [[lugha]] nyigine, ni sehemu ya [[uso wa dunia]] inayofunikwailiyofunikwa kwana [[maji]] ya bahari.
 
[[Kina]] cha maji juu ya sakafu ya bahari kinacheza kati ya [[mita]] chache hadi takriban [[kilomita]] 11 katika [[mfereji wa bahari|mifereji ya bahari]]. Kwa [[wastani]] sakafu iko mita 3,800 chini ya [[usawa wa bahari|uso wa bahari]].
 
Maeneo ya sakafu ya bahari huchunguliwa kwa kutumia [[nyambizi]] za [[utafiti]] na siku hizipiahizi pia kwa [[picha]] na [[vipimo]] vya [[satelaiti]]. Kwenye sehemu penyezenye kina kidogo, hasa kwenye [[tako la bara]], inawezekana pia kwa [[wazamiaji]] kufika kwenyekufikia sakafu ya bahari.
 
Sawa na uso wa dunia [[Bara|barani]] sakafu ya bahari huwa na [[milima]], [[mabonde]], [[tambarare]] na [[volkeno]]. Kwa jumla maeneo mbalimbali ya sakafu ya bahari hufanana kati yao zaidi kuliko maeneo ya uso wa dunia baranabara kwa sababu athira za kufinyanga na kubadilishkubadilisha uso wa sakafu ni chache kulingana na nchi kavu. Hapo chini ni hasa mikondo ya maji yanayobadilikainayobadilisha uso wa sakafu tofauti na nchi kavu ambako [[mvua]], [[mito]], [[upepo]] na mabadiliko makali ya [[joto]] na [[baridi]] zinachangia kwenye [[mmomonyoko]] na kufinyanga uso wa nchi.
 
{{mbegu-jiografia}}
 
[[jamii:Jiografia]]