Sikusare kaskazi : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
kiungo
No edit summary
Mstari 1:
'''Sikusare machipuo''' (ing. ''[[:en:vernal equinox|vernal equinox]]'') ni moja ya [[sikusare]] mbili za mwaka yaani siku ya usawa wa muda wa mchana katika maeneo mbali ya kanda ya [[ikweta]].
 
Sikusare machipuo ni sikusare ambako kipindi cha [[usiku]] mrefu umekwisha na kipindi cha nusu mwaka kinaanza ambako mchana ni mrefu kuliko usiku. Kuongezeka wa muda wa mchana kunasababisha kupanda kwa halijoto hivyo katika nchi zenye majira baridi mimea huanza kuotea majani mapya.