Tofauti kati ya marekesbisho "Mshale (kundinyota)"

no edit summary
(Kipala alihamisha ukurasa wa Kausi hadi Neptun: Kausi ni kosa, linganisha majadiliano:Sayari)
 
No edit summary
[[Picha:SagittariusCC.jpg|thumb|Nyota za Kausi angani (mistari imeongezwa kwenye picha tu)]]
#REDIRECT [[Neptun]]
'''Kausi''' ni jina la [[kundinyota]] inayojulikana pia kwa jina la Kilatini '''[[:en:Sagittarius (constellation)|Sagittarius]]'''.
 
Jina la Kiswahili limetokana na neno la Kiarabu ''Kaus'' <big>قوس</big> linalomaanisha "mpiga mishale", maana sawa na jina la "sagittarius". Wataalamu wa kale waliona katika nyota zake picha ya mtu anayekalia juu ya farasi akishika pinde na kulenga mshale.
 
Kausi inaonekana pale angani ambako [[njia nyeupe]] inang'aa zaidi yaani kuelekea kitovu cha [[galaksi]] yetu.
 
Kausi ni kati ya fungunyota zilizojulikana tangu karne nyingi zikitumiwa hasa na mabaharia kutafuta njia baharini wakati wa usiku.
 
Katika eneo la Kausi magimba ya angani kadhaa ya maana yalitambuliwa na wanaastronomia. Hizi ni pamoja
*Sagittarius A ambayo ni chanzo cha mawimbi ya redio; inaaminiwa ya kwamba mawimbi haya ni dalili za kuwepo kwa [[shimo cheusi]] kubwa sana
*[[Nebula]] kadhaa zilizoandikishwa katika [[orodha ya Messier]] kama vile nebula za lagoon, omega na red spider.
 
[[Jamii:Kundinyota]]