Orodha ya Messier : Tofauti kati ya masahihisho

Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 53 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q14530 (translate me)
No edit summary
Mstari 1:
'''Orodha ya Messier''' ''(tamka mes-ye)'' ni [[orodha ya nyota]] iliyoandikwa na mwanaastronomia Mfaransa [[Charles Messier]] kati ya 1764 na 1782.
 
Messier alitafuta hasa nyotamkia angani akitumia darubini. Aliona pia magimba mengine yaliyoonekana kama [[nebula]] (wingu dogo linalogn'aa) zisizotembea angani kwa hiyo hazikuwa nyotamkia. Akaamua kuziorodhesha.